Ninatafuta marafiki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona eenh Ngushi wabongo hatukawii mpe picha tu story anatunga mwenyewe bora lawama kuliko fedheha sitaki mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana!

Na kama kawaida yetu Wabongo kwani huwa tunakawia! [emoji2] [emoji2]
 
Tutakaa kitandani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona eenh Ngushi wabongo hatukawii mpe picha tu story anatunga mwenyewe bora lawama kuliko fedheha sitaki mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
we tualike tuje tu,
Tukitoka hapo mbiooooo kuja kukuanzishia uzi hapa
Heading "Kumbe shunie analala na ndoo za maji , majembe na unga kwenye chumba kimoja" [emoji2]
 
Uchochezi huo!
Nani amekwambia ucheke kihutu [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha nipambane na hali yangu shunie mm sitaki mabango sitaki kwenda kwa mtu na wala sitaki mtu aje kwangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
we tualike tuje tu,
Tukitoka hapo mbiooooo kuja kukuanzishia uzi hapa
Heading "Kumbe shunie analala na ndoo za maji , majembe na unga kwenye chumba kimoja" [emoji2]
 
Yote maisha mkuu, Wachina wa vijijini wanalala na bata chumbani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha nipambane na hali yangu shunie mm sitaki mabango sitaki kwenda kwa mtu na wala sitaki mtu aje kwangu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…