Ninatafuta marafiki

Ninatafuta marafiki

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona eenh Ngushi wabongo hatukawii mpe picha tu story anatunga mwenyewe bora lawama kuliko fedheha sitaki mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana!

Na kama kawaida yetu Wabongo kwani huwa tunakawia! [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndiwo niko zangu nanjilinji uku kwenye kichumba changu kimoja yani ni kistore kila kitu ndani mtu wa jf akuje aniwekee bango mana jf wote matajiri na wamejenga kasoro shunie mm tu sitaki matangazo tuendelee kuonana jf yatosha zaidi
Tutakaa kitandani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeona eenh Ngushi wabongo hatukawii mpe picha tu story anatunga mwenyewe bora lawama kuliko fedheha sitaki mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
we tualike tuje tu,
Tukitoka hapo mbiooooo kuja kukuanzishia uzi hapa
Heading "Kumbe shunie analala na ndoo za maji , majembe na unga kwenye chumba kimoja" [emoji2]
 
Uchochezi huo!
Nani amekwambia ucheke kihutu [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha nipambane na hali yangu shunie mm sitaki mabango sitaki kwenda kwa mtu na wala sitaki mtu aje kwangu

Yote maisha mkuu, Wachina wa vijijini wanalala na bata chumbani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha nipambane na hali yangu shunie mm sitaki mabango sitaki kwenda kwa mtu na wala sitaki mtu aje kwangu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom