Ninatafuta marafiki

Ninatafuta marafiki

patamu hapa, hasa mimi mtu wa mathematics. tujaalie umapata mafriend 48
kia weekend unaenda kwa friend mmoja, kwa mwezi wiki 4 na unaenda kwa mafriend wanne, kwa mwaka wiki 4x12=48. maana yake weekend za mwaka mzima utakua umepata enjoyment ya bure.
natania tu
 
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.

Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika

Karibuni
Yesu Kristo wa Nazareth!!!
 
Jichekee tu mkuu wangu maisha yenyewe mafupi haya [emoji16][emoji16]
Mkuu afanye hiyo ifanyike mahali popote, home au away from home maana wenyenyumba wengine wantons wivu wapangajj wanavyotembelewa! Sasa ndo waje hawa wa JF na migari yao ile wanayoisemaga humu:Escalade,Jeep,Vogue, Aud, and the likes, si tutapandishiwa kodi kwa kuwa na marafiki wenye mihela halafu wamekuja kumringishia, em fikiria sehemu nyingine mkuu!
 
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.

Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika

Karibuni
Okay, ningependa kuwa mmoja wapo lkn tatizo muda
 
Tukutane juu kwa juu bwana ninapokaa dah
 
Back
Top Bottom