Ninatafuta mume wa kuishi na kufunga nae ndoa

Ninatafuta mume wa kuishi na kufunga nae ndoa

je una watoto wangapi (wana umri gani ) na huyo mwenza akiwa na watoto nini maamuzi ya hao watoto??
je ulishawahi kuolewa???
jibu maswali hayo hapo juu watu waaply bwana acha kulemaa utakuta mwana si wako.
 
Mie nakutakia kila la heri ili ufanikiwe kutimiza hilo unalolitaka.
 
Mimi nimeumbwa kwa ajili yako,ila mimi nataka watoto3
 
Hapa nina kigezo kimoja tu cha Kazi. Vingine vyote ni zero.

Kama vip punguza vigezo ndg.
 
Habari za asubuhi wapendwa, ninatafuta mume rafiki ambae atakuwa mwenzi wangu wa maisha, mimi ni mkristo nina 40yrs nina kazi yangu ningefurahi kama ningempata mwenye umri kati 42 had 45, awe mfanyakazi kama mimi na mkristo pia.

Nawatakieni kazi njema.

Batoa Tamko: ah.. no! sina tamko tafadhali...
 
Back
Top Bottom