samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
jibu maswali hayo hapo juu watu waaply bwana acha kulemaa utakuta mwana si wako.je una watoto wangapi (wana umri gani ) na huyo mwenza akiwa na watoto nini maamuzi ya hao watoto??
je ulishawahi kuolewa???
Mimi nimeumbwa kwa ajili yako,ila mimi nataka watoto3
Habari za asubuhi wapendwa, ninatafuta mume rafiki ambae atakuwa mwenzi wangu wa maisha, mimi ni mkristo nina 40yrs nina kazi yangu ningefurahi kama ningempata mwenye umri kati 42 had 45, awe mfanyakazi kama mimi na mkristo pia.
Nawatakieni kazi njema.