Cjasoma vigezo vingne ninavyo[emoji31] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Kazi naomba ujiongeze tu, maisha now days ni kusaidiana so kazi yoyote halali kwangu njoo nayo tu, unizidi kipato, na elimu yako unizidi. Karibu [emoji395]
🙁 🙁 🙁 naona bado hujavuta bangi 🙂 🙂 🙂Kwani alikuwa anatembea/anakimbia mpaka aruke??
[HASHTAG]#NiajeMpostPumba[/HASHTAG] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha🙁 🙁 🙁 naona bado hujavuta bangi 🙂 🙂 🙂
ndukiiii
Umenipata mimiNinatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Mkristo
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [emoji395]
Karibu.
MpostPumba[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani alikuwa anatembea/anakimbia mpaka aruke??
[HASHTAG]#NiajeMpostPumba[/HASHTAG] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
21 unataka jikodaaa,mm nina 21
[emoji215] [emoji215] na kuku wangu wanazila kweli mkuuMpostPumba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi wanaume wanakuwaga na Bikra tutaitana Bikira Mariam usawa huu wa Magu.Mi bikra we mwenzangu je? Kama yes bas niPm hela ipo, house tyr, nina PhD ila ya kishua (sio zile za 40yr+), shart virginity
PhD kama ya hemediMi bikra we mwenzangu je? Kama yes bas niPm hela ipo, house tyr, nina PhD ila ya kishua (sio zile za 40yr+), shart virginity