Ninatafuta mume

Ninatafuta mume

Kazi naomba ujiongeze tu, maisha now days ni kusaidiana so kazi yoyote halali kwangu njoo nayo tu, unizidi kipato, na elimu yako unizidi. Karibu [emoji395]
Cjasoma vigezo vingne ninavyo[emoji31] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
  • Thanks
Reactions: noj
Kwani alikuwa anatembea/anakimbia mpaka aruke??

[HASHTAG]#NiajeMpostPumba[/HASHTAG] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
🙁 🙁 🙁 naona bado hujavuta bangi 🙂 🙂 🙂


ndukiiii
 
Tatizo lenu nikija pm hamjibu... Ila ngoja nije tu
 
Mi bikra we mwenzangu je? Kama yes bas niPm hela ipo, house tyr, nina PhD ila ya kishua (sio zile za 40yr+), shart virginity
 
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Mkristo
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [emoji395]
Karibu.
Umenipata mimi
 
mm nina miaka 37 nina upendo wa dhati ila sina kazi .....🙁
 
Back
Top Bottom