Ninatafuta mume

Kazi naomba ujiongeze tu, maisha now days ni kusaidiana so kazi yoyote halali kwangu njoo nayo tu, unizidi kipato, na elimu yako unizidi. Karibu [emoji395]
Khaa elimu ndo nn wewe sisi tuna elimu ila ni upuuzi mtupu toa akuzid elimu weka akuzid kipato angalau ntakuelewa
 
Kila siku, habari unazoanzisha ni hizi, ujapata tu.? Labda una sura mbaya ukimuonyesha, anaruka.
 
Nitafte [HASHTAG]#inbox[/HASHTAG] tuyajenge
Bahat yawezakuw yko
Ucpuuuze bc naww!!
 
Pouwa me nadhani umeshanipata cfazako zote nimetimiza ila tu kaz kwako kuntafta [HASHTAG]#inbox[/HASHTAG]
 
Naomba namba yako plz
 
Utakosa wachumbà kwa sentensi yako ya mwenye kukujali wewe na familia yako. Huo ni mtazamo wa kijinga na wewe hufai kuolewa wala kuw mke bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…