Ninatafuta mume

Wewe siulikuwa unaringa na kudengua sana miaka ya nyuma hapo.
Ila hivyo ulivyoanisha vichache, tueleza wewe ni MTU wa tabia gani
 
Ondoa Yale maandishi ya mbwa mkali getini kwako uandike tunauza barafu na ubuyu soon utapata mwenzako
 
Mpaka saizi miaka yote hiyo hujaolewa???? Duh! Kweli mambo yanabadlika,, halafu tena unaweka mashart ya awe amefika form six! Hapo inatakiwa uombe kama msaada tuuu mtu akuhurumie akuoe
"Vyuma vimekaza"
 
Hivi muislam humtaki kwa ajili gani!!?
 
Upo sahihi but unaonekana hutaki kuanza na maisha ya chini, na hio ni hatari sana, kuna dada hapa kitaani kwetu, alitangaza live kwamba yeye anahitaji mwanaume wakumuuowa ila sharti awe mchaga, tofauti na mchaga asimsogelee,, Hadi leo hajawahi kupata mchaga ila ni makabila mengine tu, na sasa ni mzee kisha rukwa na kanda na anatamani hata mlemavu amuoe lakini imekuwa vigumu ,, wanaume wameila mpaka basii!!" Na watoto kazalishwa kila mtoto na baba yake na hana tena mategemeo, hata hivyo watoto wamesha kuwa wakubwa na wanahitaji mahari wakaowe, je mama hana uwezo, hana mume, kwa ujumla ni masikini , leo anajuta ktk misimamo yake isie na ufaulu, na tayari ni muasirika kw sasa anaishi kwa matumaini, pole sana dada yangu ktk chaguo lako* ila sipendi nikuwache mtupu, nikwamba? Mwanaume mwema ndo kila kitu ktk ndowa, kikubwa awe nimtu wa kujituma mchapa kazi mwenye uchungu na maisha yake mwenye kupenda familia yake, Hapo mtakuwa na maisha mema tena yatakae endelea zaidi
 
Miaka 36 tayar ushaingia kwenye deadline ya kuolewa [emoji23][emoji23][emoji23] just a joke,usijali my dear Mungu akupe haja ya moyo wako
 
hhahahahaaaa kabisa
huyu wa kuhurumia tu bt tc too late
Masada waga wana kichaa flani hivi pale unapokuta anamvuto na nyota ya kuolewa waga mbwembwe nyingiiii Mara oooh hatuendani nae Mara oooh hana sifa sasa matokeo yake mnaomba kuolewa pumbavu sana wadada wenye hizo tabia saiz mnawatafuta tooooommmmbaaaaa nyoko
 
Umetisha mura
 
Ukitaka mbegu za kiume ntajitolea kukupa unipm tu.
Lakini ukiwa umekosa mume na unahitaju kupata mtoto,
ntakuuzia kila bao 75000:
ndo msaada wangu kwako
 
Form four ninanyumba mbili gari ya kutembelea na ya biashara nina kazi ya kuajiliwa hapo vipi? Miaka44
 
Miaka 36 tayar ushaingia kwenye deadline ya kuolewa [emoji23][emoji23][emoji23] just a joke,usijali my dear Mungu akupe haja ya moyo wako
Amina.Ninaamini Mungu atanipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…