Ninatafuta mume

Ninatafuta mume

Habari wana JF,

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 36.

Ninatafuta mpenzi mwenye upendo wa dhati atakayekuwa mume wangu.

Sifa zake
Umri: 37-45
Dini: Mkristo
Elimu: kidato cha sita na kuendelea
Kipato: Kaajiriwa / kajiajiri.

Ninawakaribisha PM kwa mawasiliano zaidi.

Ninatanguliza shukrani zangu kwa wote watakaojitokeza.
Napenda niwe mmoja na wa kipekee kwako pse PM me
 
Weka namba mi nahitaji mtu mzima kama wewe njoo baby wangu nipo kwa ajili njooo
 
37 yrs,Upendo wa dhati? Anyway Mungu akupe hitaj la moyo wako
 
Mpaka saizi miaka yote hiyo hujaolewa???? Duh! Kweli mambo yanabadlika,, halafu tena unaweka mashart ya awe amefika form six! Hapo inatakiwa uombe kama msaada tuuu mtu akuhurumie akuoe
Hahahahahhaahhahahaha! oya mwanangu hebu mkaushe mmama wa watu. au hawa ndio wale kipindi wapo 24-28 walikuwa wanaringa sana??
 
Habari wana JF,

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 36.

Ninatafuta mpenzi mwenye upendo wa dhati atakayekuwa mume wangu.

Sifa zake
Umri: 37-45
Dini: Mkristo
Elimu: kidato cha sita na kuendelea
Kipato: Kaajiriwa / kajiajiri.

Ninawakaribisha PM kwa mawasiliano zaidi.

Ninatanguliza shukrani zangu kwa wote watakaojitokeza.
Unamiaka miaka 37 lakini bado umeweka masharti
Haya mama kutafuta kwema na Mungu akusaidie
 
Punguza vipengele, la sivyo kila mmoj hatofit the profile.

Mfano kuna mtu kipengele cha kwanza anafit, chapili anafit, cha tatu hafit, na cha nne anafit.

Rudia hii kwa vipengele vyote na utakuwa umewakosa wote.
 
Back
Top Bottom