Hayo mambo ya kuuziana dhahabu vichochoroni gizani mara kuporana kijambazi unakabidhi dhahabu unaporwa huko gizani yalishapitwa na wakatiHabari ya jioni Wana JF, Nina connection na kampuni kubwa iliyo na ofisi zake hapa Dar es salaam pamoja na Dubai.
Wanahitaji supply kubwa ya dhahabu yaani kwa soko lao wanao uwezo wa kununua mpaka kilo nne kwa wiki non stop. Changamoto iliyopo ni upatikanaji wa mzigo umekuwa wa kusuasua Sana.
Ninahitaji wazalishaji au wauzaji wanaoweza kufanya biashara hii kuhusu bei hawa watu wananunua kwa bei ya soko la dunia, lakini kama ukifanikisha mchongo commission ipo nzuri.
karibuni kwa mwanzo na ideas.
ANGALIZO: DHAHABU ZIWE FULLY DOCUMENTED SIO KANJANJA.
0625965572 unaweza nitafute kwa namba hiyo au ukani DM.
Unachekesha mkuu halafu naona haupo serious...yan unataka fully documented gold halafu unakuja humu jukwaani. Masoko ya Dhahabu hapa inchini hujui yalipo mbona huko kuna mzigo wa kutosha tu kila week....Wewe utakua ni tapeli.Habari ya jioni Wana JF, Nina connection na kampuni kubwa iliyo na ofisi zake hapa Dar es salaam pamoja na Dubai.
Wanahitaji supply kubwa ya dhahabu yaani kwa soko lao wanao uwezo wa kununua mpaka kilo nne kwa wiki non stop. Changamoto iliyopo ni upatikanaji wa mzigo umekuwa wa kusuasua Sana.
Ninahitaji wazalishaji au wauzaji wanaoweza kufanya biashara hii kuhusu bei hawa watu wananunua kwa bei ya soko la dunia, lakini kama ukifanikisha mchongo commission ipo nzuri.
karibuni kwa mwanzo na ideas.
ANGALIZO: DHAHABU ZIWE FULLY DOCUMENTED SIO KANJANJA.
0625965572 unaweza nitafute kwa namba hiyo au ukani DM.
Ushauri mzuri. Nitafanya hivyoHayo mambo ya kuuziana dhahabu vichochoroni gizani mara kuporana kijambazi unakabidhi dhahabu unaporwa huko gizani yalishapitwa na wakati
Nenda soko la madini.Wauzaji hupeleka huko na utawakuta huko.Watakupa mzigo full documented
Simaanishi ije dar, inafiatwa huko iliko maana wawekezaji hawa Wana permit za kusafirisha dhahabuhicho unchokitafua huwezikipata....full document ije dar...dhahabu ukiipata unatakiwa kuuza kwenye wilaya au mkoa ulipoipata...labda wachimbaji wakubwa wanaoexport na wanamlolongo mkubwa wa kutengeneza exportparmiti....unaweza kutorosha ila ukishikwa unahujumu uhumi na kuporwa dhahabu yako...
Ushauri mzuriUnachekesha mkuu halafu naona haupo serious...yan unataka fully documented gold halafu unakuja humu jukwaani. Masoko ya Dhahabu hapa inchini hujui yalipo mbona huko kuna mzigo wa kutosha tu kila week....Wewe utakua ni tapeli.
Safi Sana asanteHayo mambo ya kuuziana dhahabu vichochoroni gizani mara kuporana kijambazi unakabidhi dhahabu unaporwa huko gizani yalishapitwa na wakati
Nenda soko la madini.Wauzaji hupeleka huko na utawakuta huko.Watakupa mzigo full documented