Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

Umejijuaje una mvuto na umeconsider nini hadi kutaka wa master au phd ama karatasi ndo zinaoa? In short una akili za kizamani.
 
Huyu dada anaonekana ni msomi pia ana Hela, huenda alianza dharau, jeuri na gubu Hadi jamaa akanyosha mikono. Haiwezekani mwanaume amuzalishe watoto wawili harafu akimbie hivihivi hiyo mi sikubali. Huyu dada atakuwa na super star ndani
38 not married tayri Kuna questions mark???
 
Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.

Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).

Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).

Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.

Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.

Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.

Asanteni waungwana.
Hii ni thesis ya PhD siyo andiko la kutafuta mwenza.
 
Umeshapata? Me I'm serious
 
Back
Top Bottom