HSE Officer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 665
- 892
Mzee wa 071Mimi nimekuelewa sana mamiloo, sema kuna kigezo kimoja tu nakosa, ila vingine vyote ninavo, na nina tabia moja mbaya.
kila la kheri kwako, mwenyenzi mungu akupe hitaji la moyo wako.
Wengi wemelelewa mfumo dumeHivi wanaume humu wengi wenu ni maisha magumu au ni stress!! Mko very bitter, ni negativity in allmost everything [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
siyo mkuu, ni nyingine kabisa
38 not married tayri Kuna questions mark???Huyu dada anaonekana ni msomi pia ana Hela, huenda alianza dharau, jeuri na gubu Hadi jamaa akanyosha mikono. Haiwezekani mwanaume amuzalishe watoto wawili harafu akimbie hivihivi hiyo mi sikubali. Huyu dada atakuwa na super star ndani
Daaah! Hii comment nilitegemea itakuja ila sikutegemea kama itatoka kwa KeApia? Na bado uko singo
Teh!
Nani amekuambia aliyecomment ni KE?Daaah! Hii comment nilitegemea itakuja ila sikutegemea kama itatoka kwa Ke
Samahani! Siku zote humu jukwaani najua wewe ni KENani amekuambia aliyecomment ni KE?
Kwa hiyo mkuu umekataa kunipa ile dawa?
Achana na wanawake kwanza tufanye biashara
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hii ni thesis ya PhD siyo andiko la kutafuta mwenza.Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo
Mwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi japo (sina chura kubwa).
Nina watoto 2
Nimeachana na mwenzangu kwa sababu Ambazo hazizuiliki kwa miaka 3 sasa (siwazi kupasha kiporo kwa namna yoyote ile).
Elimu ya masters
Ajira: nimejiajiri Ila wakati flani flani fursa zinapotokea naajiriwa ajira za muda mfupi (mfano kwenye projects n. k).
Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.
Umeshapata? Me I'm seriousHello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.