Ninatafuta ufundi bajaji za tvs

Ninatafuta ufundi bajaji za tvs

aimi lyatuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
742
Reaction score
796
Wataalam habari
Ninachangamoto ya kusumbuliwa na tatizo la kusmoke mara kwa mara kwa bajaji yangu aina ya tvs
Oil kila baada ya wiki mbili
block na Piston ni OG na nimefunga wiki mbili nyuma
Valve hazina carbon
wataalam kinachoua ring mara kwa mara ni nini??
 
Huwa una repair mwenyew??....maana tvs na boxer kwa tz zna mafundi wachache sana......na weng huwa wana sahau kubadil oil filter...plus kuweka oil za buku7...lzm ismoke....mapema sn
 
Back
Top Bottom