aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 742
- 796
Wataalam habari
Ninachangamoto ya kusumbuliwa na tatizo la kusmoke mara kwa mara kwa bajaji yangu aina ya tvs
Oil kila baada ya wiki mbili
block na Piston ni OG na nimefunga wiki mbili nyuma
Valve hazina carbon
wataalam kinachoua ring mara kwa mara ni nini??