Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watumie tissue na vijiko disposable, hata Steers, KFC, Mcdonald n.k hakuna pa kunawa.Unawazia watu tu halafu hata mikono wakanawe wapi?
ogopa siku wali maharage ukiadimika bongo kama sukari,halafu Rais bado ni Pombe,ATM zako zitaipata fresh.Ongeza utundu kidogo idea yako ikae sawa. Hyo ATM sijui nn forget it. Unless ni bites, crisps, drinks na jamii hyo ya vyakula.
Yaani mtu wa kariakoo aliyepita choo cha kulipia kama unavyojua au kupigana push za vikwapa kwenye daladala akubali tissue kuweka mkono safi ili tu ale chakula!Watumie tissue na vijiko disposable, hata Steers, KFC, Mcdonald n.k hakuna pa kunawa.
Mkuu kwenye package kuna kijiko kidogo cha palastic. Najua hakitakidhi haja lakini kama ni samaki anaweza wekwa katika mfumo wa vipande vidogo vidogo ili afae kuliwa kwa kijiko.Unawazia watu tu halafu hata mikono wakanawe wapi?
Kweli mkuu ila ndio maana nimeshare hapa kwani baadhi ya michango na maswali vinefanya niwaze zaidi juu ya vitu ambavyo hapo mwanzo sikuwa nimeviwazia.Kinachotakiwa ufanyie kazi mapema, wajanja wasije iba wazo fasta wakaanza.
Ndo wabadilike na kuishi kama nchi nyingine zinavyoishi mbona Nairobi, Manzini, Windhoek, Chigali, Jo.berg, Kampala kuna maneo ya kupata chakula ambako hakuna sehemu za kunawa. Kitu kama hiyo huwezi kuiweka Kariakoo, Buguruni, Manzeze au Tandika maana huko wataing'oa nzima nzima na kuondoka na chakula chote. Weka kule Posta, Airport, Upanga au eneo lolote ambalo liko civilized, mtu akihitaji chakula aende kukuichuku huko kama zilivyo KFC, Mcdonald n.kYaani mtu wa kariakoo akiyepita choo cha kulipia kama unavyojua au kupigana push za vikwapa kwenye daladala akubali tissue kuweka mkono safi ili tu ale chakula!
Hahahaha sasa hapo mkuu si ndio wateja watakuwa wameongezekaogopa siku wali maharage ukiadimika bongo kama sukari,halafu Rais bado ni Pombe,ATM zako zitaipata fresh.
Nje ya hiyo ATM unaweza pia kuweka tissue kwenye container ili mwenye kuhitaji achukue, tatizo ni kwamba watachukua hata ambao hawakununua chakula !!!Mkuu kwenye package kuna kijiko kidogo cha palastic. Najua hakitakidhi haja lakini kama ni samaki anaweza wekwa katika mfumo wa vipande vidogo vidogo ili afae kuliwa kwa kijiko.
ogopa siku wali maharage ukiadimika bongo kama sukari,halafu Rais bado ni Pombe,ATM zako zitaipata fresh.
Mkuu nadhani itakuwa na maana pembeni ya matundu ya kutolea chakula(ATM)kutakuwa na tangi la maji ya kunawa, maana kunawa kabla ya kula ni utamaduni wa mwafrika.Mkuu kwenye package kuna kijiko kidogo cha palastic. Najua hakitakidhi haja lakini kama ni samaki anaweza wekwa katika mfumo wa vipande vidogo vidogo ili afae kuliwa kwa kijiko.
mpaka hapa ametangaza wameshaiga unafikiri watanzania hawajui hili ni deal poa sana yaani yy mwenyewe ingetakiwa ajipange aandae kisha aanze kuleta hapa kama wazo lililotendeka akileta kama hivi wameshamlia na wameshapata wazo na wanalifanyia kaziKinachotakiwa ufanyie kazi mapema, wajanja wasije iba wazo fasta wakaanza.
Umaweka msimamizi.Nje ya hiyo ATM unaweza pia kuweka tissue kwenye container ili mwenye kuhitaji achukue, tatizo ni kwamba watachukua hata ambao hawakununua chakula !!!
Ndo wabadilike na kuishi kama nchi nyingine zinavyoishi mbona Nairobi, Manzini, Windhoek, Chigali, Jo.berg, Kampala kuna maneo ya kupata chakula ambako hakuna sehemu za kunawa. Kitu kama hiyo huwezi kuiweka Kariakoo, Buguruni, Manzeze au Tandika maana huko wataing'oa nzima nzima na kuondoka na chakula chote. Weka kule Posta, Airport, Upanga au eneo lolote ambalo liko civilized, mtu akihitaji chakula aende kukuichuku huko kama zilivyo KFC, Mcdonald n.k
Hizo gharama nyingine sasa, lengo la ATM ni kupunguza gharama. Aidha, huyo Msimamizi hawezi kuwepo muda wote hadi usiku wa manane.Umaweka msimamizi.