Ninataka kuanzisha "ATM ya vyakula"

Wazo la kipekee sana hili. Nakutakia kila la heri.
 
Ongeza utundu kidogo idea yako ikae sawa. Hyo ATM sijui nn forget it. Unless ni bites, crisps, drinks na jamii hyo ya vyakula.
 
Ongeza utundu kidogo idea yako ikae sawa. Hyo ATM sijui nn forget it. Unless ni bites, crisps, drinks na jamii hyo ya vyakula.
ogopa siku wali maharage ukiadimika bongo kama sukari,halafu Rais bado ni Pombe,ATM zako zitaipata fresh.
 
Kinachotakiwa ufanyie kazi mapema, wajanja wasije iba wazo fasta wakaanza.
Kweli mkuu ila ndio maana nimeshare hapa kwani baadhi ya michango na maswali vinefanya niwaze zaidi juu ya vitu ambavyo hapo mwanzo sikuwa nimeviwazia.
 
Yaani mtu wa kariakoo akiyepita choo cha kulipia kama unavyojua au kupigana push za vikwapa kwenye daladala akubali tissue kuweka mkono safi ili tu ale chakula!
Ndo wabadilike na kuishi kama nchi nyingine zinavyoishi mbona Nairobi, Manzini, Windhoek, Chigali, Jo.berg, Kampala kuna maneo ya kupata chakula ambako hakuna sehemu za kunawa. Kitu kama hiyo huwezi kuiweka Kariakoo, Buguruni, Manzeze au Tandika maana huko wataing'oa nzima nzima na kuondoka na chakula chote. Weka kule Posta, Airport, Upanga au eneo lolote ambalo liko civilized, mtu akihitaji chakula aende kukuichuku huko kama zilivyo KFC, Mcdonald n.k
 
Mkuu kwenye package kuna kijiko kidogo cha palastic. Najua hakitakidhi haja lakini kama ni samaki anaweza wekwa katika mfumo wa vipande vidogo vidogo ili afae kuliwa kwa kijiko.
Nje ya hiyo ATM unaweza pia kuweka tissue kwenye container ili mwenye kuhitaji achukue, tatizo ni kwamba watachukua hata ambao hawakununua chakula !!!
 
Siri ya mafanikio ya wahindi waliotoka Uganda walipofika Uingereza ilikua kubadilisha mfumo wa biashara ya chakula. Walianza kufungua migahawa ya 'take away' walichangamikia fursa ya weekend, bank holidays na usiku wa manane.
 
Mkuu kwenye package kuna kijiko kidogo cha palastic. Najua hakitakidhi haja lakini kama ni samaki anaweza wekwa katika mfumo wa vipande vidogo vidogo ili afae kuliwa kwa kijiko.
Mkuu nadhani itakuwa na maana pembeni ya matundu ya kutolea chakula(ATM)kutakuwa na tangi la maji ya kunawa, maana kunawa kabla ya kula ni utamaduni wa mwafrika.
 
Ni wazo zuri sana....linatekelezeka ukiamua kwa dhati. Japo haitakuwa rahisi sana
 
Kinachotakiwa ufanyie kazi mapema, wajanja wasije iba wazo fasta wakaanza.
mpaka hapa ametangaza wameshaiga unafikiri watanzania hawajui hili ni deal poa sana yaani yy mwenyewe ingetakiwa ajipange aandae kisha aanze kuleta hapa kama wazo lililotendeka akileta kama hivi wameshamlia na wameshapata wazo na wanalifanyia kazi
 

Piga picha umetoka msalani kama hapo halafu unaingia kupata packaged food bila kunawa mikono, chakula kitashuka kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…