Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Nataka niifanyie uwekezajiKwa mwezi unasave shilling ngapi? Na unataka kufanyia nn?
Kutoa jicho mchezo okoteni aseePambaneni na hali zenu. Sisi hapa Nungwi tunaokota Dollar kama mchanga
Yes Mkuu...naona nitalipa ela nyingi sanaUnalipa almost a half
Ah kumbe ni miaka 9
Ngoja waje kwanza ila dah miaka 9 ni mingi aisee una uhakika na steady income?
Miaka 9 ni mingi sana kwa mkopo, ukichukulia unalipa interest kubwa.Nataka niifanyie uwekezaji
Analipa 40 mil mhhUna shida na pesa au huna? Na tukisema usichukue,je kuna sehemu ingine unategemea utapewa hiyo pesa pasipo mkopo?
Hapana mkopo unatakiwa uuweke kwenye biashara inayoendelea tayari yaani uongeze liquidity, huduma, bidhaa n.k ila sio kwa uwekezaji mpya. Ni risky sana kufanya kitu kama hicho maana mpaka uwekezaji uanze kukulipa riba inapanda tuu utajikuta 50% ya faida latika miaka hii 9 inaishia kwa riba na hapo ni kama biashara itakua ina exist in 9 years!!Nataka niifanyie uwekezaji
Great returns requires great risk and sufficient resources to be invested. Kama kashakaza moyo, achukue tu.Miaka 9 ni mingi sana kwa mkopo, ukichukulia unalipa interest kubwa.
Huwezi kuchukua kwa angalau miaka 2 uangalie upepo unaendaje kwanza?
Huo uwekezaji huwezi kufanya kwa awamu?
Unalipa tu,Bank ndiyo msaada wako...ukimbilie wapi mkuu?Analipa 40 mil mhh
Tent akodishe wapi mkuu Mikoa imetofautiana ujue...Chukua mwanangu, alafu toa 10M katengeneze Tent za kukodisha 5, kwa mwaka jiwekee kurudisha mkopo kwa kiasi cha 10M ndani ya biashara zako tu. Tent pekee kwenye hio 10 zinakupa 5M, hio 5M nyingine angalia 40M utaiwekeza wapi.
TugawanePambaneni na hali zenu. Sisi hapa Nungwi tunaokota Dollar kama mchanga
Ahsante Mkuu...Chukua mwanangu, alafu toa 10M katengeneze Tent za kukodisha 5, kwa mwaka jiwekee kurudisha mkopo kwa kiasi cha 10M ndani ya biashara zako tu. Tent pekee kwenye hio 10 zinakupa 5M, hio 5M nyingine angalia 40M utaiwekeza wapi.