Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

Great returns requires great risk and sufficient resources to be invested. Kama kashakaza moyo, achukue tu.
Huu msemo ni wa kujidanganya, tafiti zinaonyesha 70% ya biashara mpya huwa zinakufa ndani ya miaka 2 ya kwanza. Mind you greater risk sio solution ila risk assessment na mitigation ndio matters. Mambo ya kujilipua ni wishful thinking
 
Habar za asubuh wadau.

Nishaonana na afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa nikichukua M50 Kwa miaka 9 riba ni 16% narejesha M90.

Naombeni mnishauri kwenye hili wadau niache au nichukue huu mkopo
Kama wataka ushauri kutoka kwetu mbona unatupa taarifa nusu, tuambie bond au korato umeweka nini? Unafanya kazi gani unaenda kuwekeza katika nini?.......acha dharau wengine humu ni mameneja wa benki.
 
Habar za asubuh wadau.

Nishaonana na afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa nikichukua M50 Kwa miaka 9 riba ni 16% narejesha M90.

Naombeni mnishauri kwenye hili wadau niache au nichukue huu mkopo
Mkuu kwa ushauri.tu, nenda na NMB ukalinganishe. Hiyo riba crdb na marejesho ni kubwa mno.

Ila nmb hawana mashart ya kingese. Crdb ilikuwa niuze deni benk ingine, jamaa wanakataa kata kata, nikasema one, nikaachana nao. Mkopo huo wa 50m utalipa si miaka 9 tu, crdb ni benk ambayo ingeendelea kitambo, tatizo ni urasimu.

Yaan hata kadi yao nimeichoma moto
 
1. Ni mgonjwa tu wa akili na mshamba wa finances anaweza fanya huo ujinga.

Au

2. Mtu ambaye ameingia. mkataba na ubalozi wa Marekani ana supply staionery na ana uitaji wa mtaji.

Kwa amount hiyo ya Mkopo kwa hizi biashara zisizo reliable na zinaweza kuwa affected na siasa, ni kujitia umaskini na utumwa.
 
Kama kazi ndio dhamana na ukishindwa kulipa hakuna kitu chako binafsi kitaathirika, Beba fuba hilo mkuu.

Maisha haiahitaji kusita. Hapo najua utakatwa na kidogo kitabaki kuendeshea maisha.

Kama uko bize sana, Jengea nyumba hakikisha unakuwa na hati kabisa, hata wakijichanganya unaingia tena kwingine hiyo nyumba inakuwa ndio collateral unavuta fuba tu. Usiogope.
 
Huu msemo ni wa kujidanganya, tafiti zinaonyesha 70% ya biashara mpya huwa zinakufa ndani ya miaka 2 ya kwanza. Mind you greater risk sio solution ila risk assessment na mitigation ndio matters. Mambo ya kujilipua ni wishful thinking
Mpaka unasema hivo basi wewe hujawahi kufanya biashara, kwahyo sina cha kukushauri mkuu. Endelea tu kuukumbatia umaskini. Mtakuja kujifunzia biashara ukubwani, mkishastahafu, mzizike hela zenu mlizozisotea miaka 60, haha.
 
Miaka 9 ni mingi sana kwa mkopo, ukichukulia unalipa interest kubwa.

Huwezi kuchukua kwa angalau miaka 2 uangalie upepo unaendaje kwanza?

Huo uwekezaji huwezi kufanya kwa awamu?
Niliconsider na Muda pia nikaona ingekua better kama ningechukua mkopo mkubwa niuwekeze now kuliko kuchukua mdogo....niliona Io 50M nkiwekeza now after 4 yrs itakua imezalisha sana ...ila riba ndo ikanitoa stimu naona bank watafaidika sana
 
Great returns requires great risk and sufficient resources to be invested. Kama kashakaza moyo, achukue tu.
Angeweka aina ya Investment anayotaka kufanya tungeweza kumshauri zaidi.

Asije ndani ya miaka 3 investment imekufa na bado ana miaka 6 ya kukatwa ataona kazi chungu.

All in all uamuzi ni wake, ila kwa uzoefu wangu watumishi wengi Mikopo wanayochukua huwa inafeli.
 
Habar za asubuh wadau.

Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.

Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Riba ya 16% ya 50M ni milioni 40 na sio 8M,naomba ufafanuzi kidogo hapa
 
Hapana mkopo unatakiwa uuweke kwenye biashara inayoendelea tayari yaani uongeze liquidity, huduma, bidhaa n.k ila sio kwa uwekezaji mpya. Ni risky sana kufanya kitu kama hicho maana mpaka uwekezaji uanze kukulipa riba inapanda tuu utajikuta 50% ya faida latika miaka hii 9 inaishia kwa riba na hapo ni kama biashara itakua ina exist in 9 years!!
Uko sahihi Mkuu
 
Back
Top Bottom