Unamjibu mi mwenyewe nilikua na mpango wa kukimbia.
Unamlipia bili lakini? au uhnamwacha alipe mwenyewe?Kama mimi naondoka siagi kisha nikifika home namtumia sms kumwambia kimeo kibaya ila ofa yake tamu sio?
Yaaani umeomba ki date na mwanamke akafika na shosti yake, mkala misosi, mkanywa, ukalipa bili. Baada ya hapo inaingia sms, "ninataka kumkimbia kimeo huyu", mwanamke alikuwa anamtumia shosti wake akajisahau akakutumia wewe.
Ungefanyaje hapo............???