Ninataka kumkimbia kimeo huyu

Ninataka kumkimbia kimeo huyu

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,957
Reaction score
827
[h=6]Yaaani umeomba ki date na mwanamke akafika na shosti yake, mkala misosi, mkanywa, ukalipa bili. Baada ya hapo inaingia sms, "ninataka kumkimbia kimeo huyu", mwanamke alikuwa anamtumia shosti wake akajisahau akakutumia wewe.
Ungefanyaje hapo............???
[/h]
 
eti unakuta mtu anamuita mwenzie kimeo, kwani wewe mzuri hadi kumuita mwenzio kimeo. ningekuwa mimi ningereply "kimbia". mia
 
we unatulia tu kama lengo lako ni kupiga tu unakuwa mpole unaendelea kugharamia ukikipata unachokitaka unampa kibuti cha kufa mtu wanawake wengi huwa wana mchezo huo hata kama anakupenda ila akija na mtu atajifanya kama vile anataka kukupotezea na ww usipokuwa mjanja ndugu utaliwa sana tuu
 
Inapaiiin,and much depend on ur expectation to her for u..! Bt wisely ningempa fact kwamba am nt kimeo bt am.....(my name).then ningewatakia time njema halafu nikajivumilishe mbele..!!kama chaka chaka tuu..
 
Du, km ndio mm huyo mwanaume natoka kimya kimya km naongea na simu,nikifika nje naifowadi kwake na hataniona tena na mawasiliano yanaishia hapo.
 
hiyo itakua ni chance moja kubwa sana ya kumpata kwa sababu tayari atakua hana confidence....then kwa hasira nitamega wote wawili then mwendo mdundo
 
Yaaani umeomba ki date na mwanamke akafika na shosti yake, mkala misosi, mkanywa, ukalipa bili. Baada ya hapo inaingia sms, "ninataka kumkimbia kimeo huyu", mwanamke alikuwa anamtumia shosti wake akajisahau akakutumia wewe.
Ungefanyaje hapo............???



Aliyetoa comment kuwa ni kimeo kakuona, mlikuwa nae na mmekula na kunywa.

Anonymous si kimeo so hawezi kuitwa kimeo. Hivyo basi hatakuwa na la kufanya kwani hawezi itwa kimeo.

Je wewe ni kimeo au la?
 
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeipenda kweli hii duh!
i wish i was you meeeeeeeeeeeeeeeeeeen............mana nami ningemjibu umejuaje ka na mm najiona ka nimeingia choo cha kike mana mtoto uko ka mjusi kabanwa na mlango
 
ishu kama hii ilishawahi kunitokea,nimesimama na jamaa ananisoundisha then akapita shosti wangu akanikonyeza,basi bila ajizi nikavuta cm nikatuma msg ya kumponda jamaa kwa shosti nikakosea ikaenda kwa jamaa...nilitamani ardhi ipasuke..jamaa maneno yalimwisha,tukaagana rite away
 
Back
Top Bottom