Bado nipo nipo
Member
- Nov 19, 2011
- 69
- 11
Mambo vp wadau, nina girlfriend wangu kitambo sasa. Tunaheshimiana sana na tunapendana, ila shida iliyopo kwangu ni ya kuamkwa na hisia za kungonoka kila wakati. Hili linanipa wakati mgumu sababu yeye anakuwa bize sana kazini kwake, kwa hiyo muda wa kumpata ni hadi ajiibe. Naombeni ushauri wa hii kitu, nimwache au nitafute wa pembeni bila kumwacha yeye?
jaribu tuliza feelings zako
Anza kupga pull ka vp!
Tafadhali, tell me when you are ok.
Habari yako mpnz,tatizo la MIJOBLESS!!! MWANAUME JISHUGHULISHE EBO!!
Ina maana ww ni kaka wa nyumbani? Mwenzio akiwa busy kazini,ww unawaza ngono? Keep busy banaa,acha umariooo!
tatizo la MIJOBLESS!!! MWANAUME JISHUGHULISHE EBO!!