Ninataka kumwacha au kutafuta wa pembeni....!

..K nimekusoma kumbe kazi yako inakufanya ukae mtandaoni mda mrefu ukicheki "pornographic materials" kiasi hadi mwili wako uwake na kungoneka,sasa fanya hivi OA au PUNYETO iwe msaada kwako,na kama u mtu mwenye dini huyo kisubisubi wa ngono anapaswa atolewe,na kuhusu kutafuta wa pembeni we tafuta manake ushakuwa mjinga wa kutosha kwani mpaka unatuuliza wa JF imeonesha ni kiasi gani mwanamke ni "CHOMBO CHA STAREHE KWAKO"..
 
duh kweli wewe sijui ni hamnazo unakuwa na GF unashindwa hata kujua nature ya kazi yake achana basi umuhimu wa hiyo kazi na bado unalalamika kwa tamaa ya mwili na hapo isije ukawa wazo liko kwenye ngono zembe haaaaa
 

thanks a lot!
 
pole sana najua inaumiza sana,bt kama unawasiliana nae kwenye cm mwambie siku moja ata ya jpili mkae umueleze unavyojisikia kwake,bt usichujue huamuzi wa haraka ivyo,so sikushauri kumwacha na pia kumtafutia wa pembeni
 
pole sana najua inaumiza sana,bt kama unawasiliana nae kwenye cm mwambie siku moja ata ya jpili mkae umueleze unavyojisikia kwake,bt usichujue huamuzi wa haraka ivyo,so sikushauri kumwacha na pia kumtafutia wa pembeni

lakini hapo inaumiza kwa lipi ??
  1. anatakiwa ajue nafasi ya mwenzake
  2. anatakiwa ajue nature ya kazi
  3. anatakiwa aelewe mwenzake anataka nini
 
Muoe ukaaye naye kabisa, huenda tatizo lako likapata ufumbuzi.
 
Nikuambie kitu! Msaidie kwa KUMUACHA maana huna thamani kwake; kifupi haufai; kwakidhungu U r NOT Worth her love!

Kwahiyo badala ya kutafuta wa pembeni, be man enough muache ili apate mchumba mwema na anayejua maana ya mapenzi na sio kushusha thamani ya penzi kuwa ngono tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…