Mkuu
Yani ni balaa nilikaa karibu na soko la Mavunde.
Akipata muda aende chako ni chako akale kuku.
Wew hata ukienda kasulu,hiyo ndo njia uliyochagua mwenyewNdio hivyo wazee kutokana na umri wangu wa miaka thelathini(30) kunigongea nikiwa sina mfumo mzuri(sijafanikiwa kupata kazi rasmi ya uhakika iwe kuajiriwa/kujiajiri,sjafanikiwa kuoa, nimeamua nijilipue niende DOM.
Nimefanikiwa kuishi Mbeya, Sumbawanga, Katavi, Mafinga-Iringa, yaani huku nyanda za juu kusini ambako ndio kwetu nimepambana kama miaka 7 sasa tangu nigraduate ila ni mwendo wa pesa ya kula na pengine ndiyo yale ya nabii na kwao.
Kama ni CHUNYA huko machimboni nako mambo sio poa siku hizi tu tofauti na zamani, machimboni wanafaidi wale wadosi wenye mashimo au makarasha yao,mchimbaji na mtumia nguvu kitengo chochote sometimes unaishia kula ugali maharage dagaa wa bure huku ukipigwa na jua tu,
Nimechagua DOm na sio ARUSHA au DSM kwa kuwa nimefanya utafiti mdogo kwamba hiyo miji ilikuaga ina fursa zamani, sio leo, na nna ndugu kibao wapo huko miaka na miaka sometime mimi niliepo mkoani huwa nawasevu wanapotingwa, hiyo miji maisha magumu sana siku hizi ila DOm ndio mji unaochipukia japo sijawahi kuishi nna imani life lake kidogo ntatoboa tofauti na dsm au A-town.
AU mnasemaje wazee, wale mliopo DODOMA mje mnishauri basi kijana wenu. Nije Dom pengine ntaotea hata mrangi wa kujenga nae maisha, huku kusini nimepambana a lot.huko ntaanzisha kabizness kokote nione upepo
🤣😅😆Wew hata ukienda kasulu,hiyo ndo njia uliyochagua mwenyew
Sina uhakika kama vinaweza kupatikana chumba cha 30,000Mkuu kwahiyo vyumba vya kuforce hata kwa 30 single hamna
Naomba nije niwashe Kiko Changu jirani 🤪KARIBU
Mimi pia ningeshauri hivyo, kule Chunya hela ipo na mzunguko ni mkubwa piaKama unaanza kupambania maisha, nakushauri ungerudi Mbeya pana fursa nyingi na kama upo serious utawapiga bao vijana wa Mbeya sababu wengi ni wavivu na wakipata kipesa kaduchu wanakimbilia kulewa.
Dom panakua kwa kasi lakini garama za maisha ni ghali sana.
Ngoja namim nizame chunya sasaSina uhakika kama vinaweza kupatikana chumba cha 30,000
Labda kule Mtera ama Mpwapwa, lakini kwa hapo town sio rahisi
Lodge zenyewe standard, zinaanzia 50,000
Wakati kule Mbeya, 50,000 unalala hotelini 🙌
Sijajua mishe unayotaka kufanya, lakini ungekwenda Chunya, kule hela ipo
Chunya saivi Ujenzi mwingi unafanyikaNgoja namim nizame chunya sasa
Kama wa kwenye picha ni wewe basi kuna shida kubwa maana najaribu kukuangalia hapa kwenyekiongozi ramli hata sikuoni mkuu.
Mkuu tafadhaliKama wa kwenye picha ni wewe basi kuna shida kubwa maana najaribu kukuangalia hapa kwenye ramli hata sikuoni mkuu.
Hapa mkuu nitajaribu kufanya mawasiliano na ndg yangu mmoja kama itakuwa nouma ntapanga tuu, hapa nna kilaki tano tuDodoma mzunguko wa pesa upo, hilo linapelekea maisha kuwa ghali
Hivyo kwa watafutaji beginners inakua disadvantage ila ukikomaa unatoboa
Unajipanga kufanya shughuli gani/ biashara?
Una pesa ya kuanzia kiasi gani?
Unafikia kwa ndugu au unakuja kuanza moja?
Yes mkuuKikubwa anzia chini tu mwanetu, utatoboa.
Kwahiyo ni kama arusha sioKama unaanza kupambania maisha, nakushauri ungerudi Mbeya pana fursa nyingi na kama upo serious utawapiga bao vijana wa Mbeya sababu wengi ni wavivu na wakipata kipesa kaduchu wanakimbilia kulewa.
Dom panakua kwa kasi lakini garama za maisha ni ghali sana.
Kudadek mkuu, 50 mbeya unapata self pale block t, uhindini na airport ya zamanMkuu
Kila la kheri, kwa kukushauri jaribu kuishi maeneo ya chang’ombe, nkuhungu au kwa waziri mkuu kule kidogo vyumba single unaweza pata 50k.
Palinishinda hali ya hewa sema ni pazuri.
Ahsante mkuu, nikifika tutazidi kufahamianaKARIBU
Duh nashukuru mkuu hii ni comment ya pili bora,kiufupi dom sio kama mbeya au darslaam, mitoto ya kirang mizuri ila duh bacZingatia haya kabla ujaenda Domland
uwe na fani yoyote kama ufundi nk
uwe na mtaji wa kutosha kama unaenda kufanya biashara
uwe na ndugu au mwenyeji ambaye utakaa kwake hadi upate chumba chako
elewa kwamba
dodoma inabamba sana kipindi cha bunge na kipindi cha mavuno
dodoma ina mchanganyiko mkubwa wa watu hivyo matukio ya uhalifu yapo sn
kuoa mrangi sikushauri ni wanafiki sana na wanaroho ngumu hao wanaoana wenyewe kwa wenyewe
Duh afadhali nikomae mbeya sasa huku wali maharage 1500,supu ya kuku hadi 3000,matunda ya 500,chumba single 20-25 maji safi ya bomba,nikahis nachelewaDodoma kukavu jua kali na vumbi lake sio poa na maji ya chumvi
ukipigika unapauka
Fanya mawasiliano laki tano huku chumba cha 50k ni uswahilini hakina kiooHapa mkuu nitajaribu kufanya mawasiliano na ndg yangu mmoja kama itakuwa nouma ntapanga tuu, hapa nna kilaki tano tu
Mkuu tafadhali kigoma sio mkoa wa utafutaji kule ni kwa wazee wastaafu wanalima zao mihogo wakingoja monthly pensionsWew hata ukienda kasulu,hiyo ndo njia uliyochagua mwenyew