Ninataka nimuache msichana kwa faida ya maisha yake

Ninataka nimuache msichana kwa faida ya maisha yake

Mrejesho tafadhali...
Kamanda nimekomaa naye japo bado mzani unazidi uwezo..tumepanga japo kazi kwake bado mtihaninami nabangaiza.Ningepata mtu akamsaidia walau kazi ya sheli ningekua tayari kutoa chochote kitu apate kazi.
 
Back
Top Bottom