Sawa bro, nitapimaKapime minyoo na sukari.
Uwe busy na kazi, na kunywa maji ya kutosha ukianza kuhisi njaa.
Yawezekana isewe ni tatizo, ila ni hali ya kupita tu kwa mfano, kuna watu wakiwa na msongo wa mawazo wanakula sana, au wakiwa na hela ambayo hawajaitolea jasho huwa wanawaza sana kula.
Aliikudanganya Nani kinawapata wazee na walevi?Kisukari!!!??? Hicho sikinawapata wazee Walevi??
Mimi sio mzee na wala sinywi pombe
Kakudanganya nani mkuu ?Kisukari!!!??? Hicho sikinawapata wazee Walevi??
Mimi sio mzee na wala sinywi pombe
Eating disorderNdio nini hiyo??