Kama uko sawa watacheki vitu vigineNikiwa sawa inakuaje na nikiwa siko sawa inakuaje?
Kaka hizo kisukari zipo aina mbili ... Hazina uhusiano sana na ulevi wala aging ... Sometimes ni urithi na lifestyle yako tu... Kama ni mnene kupindukia jua upo hatarini bosd kacheki fasterKisukari!!!??? Hicho sikinawapata wazee Walevi??
Mimi sio mzee na wala sinywi pombe
Ningependa kufahamu menyu yako ikoje... Ahsubuhi unakula chakula gani... Mchana na jioni.... Nataka nikusaidie katika upangiliaji wa vyakula bossSina bro, labda itakua ni hali ya kawaida kwa binadamu ambaye hana matatizo katika mwili wake
Shukrani, nitafanyia kazi nioneJaribu kula chakula chako kwa kubalance ...yaani protein +wanga +fat(unsaturated fatty)...kwa luga nyepe asubuhi kula vizuri kama mfalme...Protein za kutosha na wanga kiasi na fatty ..mfano...Maharage + chapati+ parachichi au mtindi....hapo una protein + wanga +fatty...kula Mara kula kwa kubalance chakula hii itakusaidia kukaa masaa sita au nane bila kula baadala ya mawili ya sasa...
Mimi sio mnene, naa nina simple life style...sina stress hata kijikoKaka hizo kisukari zipo aina mbili ... Hazina uhusiano sana na ulevi wala aging ... Sometimes ni urithi na lifestyle yako tu... Kama ni mnene kupindukia jua upo hatarini bosd kacheki faster
Asubuhi nakulaga chai ya maziwa na vitafunio kama ndizi zilizoiva zile za kuchoma kwa mafuta, sambusa, maandazi, bagia....sometimes supu ya kuku au ngombe ....chapati ..uji wa ulezi mara chache.Ningependa kufahamu menyu yako ikoje... Ahsubuhi unakula chakula gani... Mchana na jioni.... Nataka nikusaidie katika upangiliaji wa vyakula boss
Utakuta insulin inamwagika hatare na kitambi kikubwa sanaKacheki blood sugar ....cheki kabla na baada ya kula
Kapime sukari na insulin we utakuwa nazo nyingi na uache kunywa vitu vya sukariMimi Niko tofauti na wew kidogo ! Aisee nikipiga Soda aisee naweza nikahisi Njaa Siku nzima maana ntakuwa nakula baada ya Muda kidogo Njaaa
Sayansi ya,mwili imekupiga chenga mzee babaKisukari!!!??? Hicho sikinawapata wazee Walevi??
Mimi sio mzee na wala sinywi pombe
Mnapenda danganya watu sana nyie wabongo matunda yalivyo nasukari ni kumzidishia njaa tuudawa: juisi ya papai iliochanganywa na limao mara mbili kwa siku asubuhi na jion kwa siku tatu tu.....rejesha mtejesho baada
Nyama tena yenye mafuta, cheese(jibini),chocolate parachichi na mboga za majani,mayai.. Nakwambia utapunguza kula mwenyeweNile vyakula gani?