Jaribu kula chakula chako kwa kubalance ...yaani protein +wanga +fat(unsaturated fatty)...kwa luga nyepe asubuhi kula vizuri kama mfalme...Protein za kutosha na wanga kiasi na fatty ..mfano...Maharage + chapati+ parachichi au mtindi....hapo una protein + wanga +fatty...kula Mara kula kwa kubalance chakula hii itakusaidia kukaa masaa sita au nane bila kula baadala ya mawili ya sasa...