Mzee kama hufanyi mazoezi Yale makali achana na hizo wanga we endelea na supu tuuAsubuhi nakulaga chai ya maziwa na vitafunio kama ndizi zilizoiva zile za kuchoma kwa mafuta, sambusa, maandazi, bagia....sometimes supu ya kuku au ngombe ....chapati ..uji wa ulezi mara chache.
Pi huwa nakula mihogo/ viazi
Mchana nakula ugali/wali + maharage na dagaa+nyama+mboga za majani matunda...nyanya chungu...bamia
Usiku nakulaga mtindi na chakula chochote ila sio ugali na juice ya matunda
Wapi niongeze au kupunguza??
Nyama nakula sana karibia kila siku, lakini hiyo ya mafuta sili na siipendi...maparachichi nakula sana...mboga za majani nakula sanamayai nakula, japo sio kila siku.. Lakini bado napata njaaNyama tena yenye mafuta, cheese(jibini),chocolate parachichi na mboga za majani,mayai.. Nakwambia utapunguza kula mwenyewe
Sasa hayo mafuta ndo yanatoa hamu ya kula.. Ila maji unaypkunywa tupiamo ndimu or limao ili kuondoa gaut na stone kidneyNyama nakula sana karibia kila siku, lakini hiyo ya mafuta sili na siipendi...maparachichi nakula sana...mboga za majani nakula sanamayai nakula, japo sio kila siku.. Lakini bado napata njaa
Cheza mpira piga supu for week then urudi kula wanga mdogo mdogo shida ni hiyo insulin yani sukari kidogo tu inajaza mwili mzima na kacheki kama una insulin resistance maana utakuta damu inasukari nyingi sanaNilikua nacheza mpira nikaacha, so unanishauri niendelee?
Why do you just jump to your own conclusion?naifahamu hiyo hali huwa inasababishwa na msongo wa mawazo kwa kuwa msongo wa mawazo waweza pelekea mtu awe anakula sana au kidogo.....! ila huo ni msongo wa mawazo kiufupi
i can't bring my comic to serious matters am just advising you what i know about it sasa unaposema ni own conclusion yangu sielewi ila ilo suala mara nyingi husababishwa na hiyo hali kama auna minyoo waone wataalamu alaf niletee feedback kama hawataeleza kuwa an extrem stress is among the reasonWhy do you just jump to your own conclusion?
Huo msongo wa mawazo umeniwekea wewe?
KisukariMf, nikishakula ugali(Wakushiba kabisa) mchana saa saba mida ya saa kumi kasoro jioni nakua nimeshapata njaa tena.
Nikinywa chai asubuhi saa mbili, saa tano nakua nimeshapata njaa tena.
Pia huwa ninatamani kula kula muda wote
Hii ni shida gani madokta? Na vipi tiba yake?
Maana hali hii sio rafiki kabisa
Tofauti ya stress na depression ni niniKuona kila dalili matatizo ya mleta mada kuwa kwenye ubongo. Hizo ni stress na usipodili nazo zinaleta depression.
Muons daktari wa ubongo (neurologists)
Depression is the next stage of stressTofauti ya stress na depression ni nini
Phnguza wanga maandazi,chapati,mihogo,uji wa ulezi,bagia vyooote hivyo vimekobolewa vina wanga mwingi.ONGEZA MBOGA ZA MAJAN iwe 75%Asubuhi nakulaga chai ya maziwa na vitafunio kama ndizi zilizoiva zile za kuchoma kwa mafuta, sambusa, maandazi, bagia....sometimes supu ya kuku au ngombe ....chapati ..uji wa ulezi mara chache.
Pi huwa nakula mihogo/ viazi
Mchana nakula ugali/wali + maharage na dagaa+nyama+mboga za majani matunda...nyanya chungu...bamia
Usiku nakulaga mtindi na chakula chochote ila sio ugali na juice ya matunda
Wapi niongeze au kupunguza??
fanya zoezi lavkutembea nusu saa Kila sikuNilipima kabla ya kula, dokta akaniambia niko sawa, sijajaribu kupima baada ya kula