edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Mzee kama hufanyi mazoezi Yale makali achana na hizo wanga we endelea na supu tuuAsubuhi nakulaga chai ya maziwa na vitafunio kama ndizi zilizoiva zile za kuchoma kwa mafuta, sambusa, maandazi, bagia....sometimes supu ya kuku au ngombe ....chapati ..uji wa ulezi mara chache.
Pi huwa nakula mihogo/ viazi
Mchana nakula ugali/wali + maharage na dagaa+nyama+mboga za majani matunda...nyanya chungu...bamia
Usiku nakulaga mtindi na chakula chochote ila sio ugali na juice ya matunda
Wapi niongeze au kupunguza??