Asalaam Aleykyum,
Nina tamani tena nina shauku kubwa kuona thread ya Mrembo huyu (nina uhakika na urembo wake) ikisema:-
"Niulizeni swali lolote nitajibu"
Hii ni kufuatia kujitolea kwa baadhi ya members kuhitaji kuulizwa maswali ya aina yoyote hata yale ya kibinafsi zaidi (Privacy) kama Warumi na Bibie Faiza Foxy wakati flan
Siku ikitokea Evelyn Salt akatoa fursa hiyo (natamani iwe usiku nikiwa kitandani) mimi kama bin'adam moyo, nafsi na mwili wangu vitakuwa katika hali mujarab... Inshallah !
Hivi Mods hamuwezi kusikia na kujali ombi na kilio changu mimi Azarel?
Wabillah Tawfiq
Kumbe hana hiyana, ngoja na mimi niende huko pm.Mkuu Evelyn hana hiyana..We mfwate tu pm muulize maswali yako..
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]Anarukia dudu muda huu
Basi sawa ukiwa kitandani unijulishe niandike hiyo thread.... Bila shaka umeshaorodhesha maswaliAsalaam Aleykyum,
Nina tamani tena nina shauku kubwa kuona thread ya Mrembo huyu (nina uhakika na urembo wake) ikisema:-
"Niulizeni swali lolote nitajibu"
Hii ni kufuatia kujitolea kwa baadhi ya members kuhitaji kuulizwa maswali ya aina yoyote hata yale ya kibinafsi zaidi (Privacy) kama Warumi na Bibie Faiza Foxy wakati flan
Siku ikitokea Evelyn Salt akatoa fursa hiyo (natamani iwe usiku nikiwa kitandani) mimi kama bin'adam moyo, nafsi na mwili wangu vitakuwa katika hali mujarab... Inshallah !
Hivi Mods hamuwezi kusikia na kujali ombi na kilio changu mimi Azarel?
Wabillah Tawfiq
Duh asubuhi hii jamani unanitamanishaaaaaπππ
Chapati kutoka jikoni kwa Evelyn na sweet mangii wake Mentor
View attachment 472217
View attachment 472218
πππ
Chapati kutoka jikoni kwa Evelyn na sweet mangii wake Mentor
View attachment 472217
View attachment 472218
Nenda mkuu..Utaenjoy sana kuchat naeKumbe hana hiyana, ngoja na mimi niende huko pm.
Na we uje kuleta Uzi kama huo tukuulize maswaliDuh asubuhi hii jamani unanitamanishaaaaa
Hahahaahhahahaahahahahaha noted.Na we uje kuleta Uzi kama huo tukuulize maswali
Kumbe una sifa za kuwa kawife material kwa mapishi haya, ngoja nipange taratibu za kukuweka ndani uwe unanipikia haya mautamu na mengine kadhalika.πππ
Chapati kutoka jikoni kwa Evelyn na sweet mangii wake Mentor
View attachment 472217
View attachment 472218