Kweli mipango si matumizi.
Nimepata shamba huko kisarawe naomba mrejesho msimu ujao nalima michungwa ( wazo ) nipe mwongozoKweli mipango si matumizi.
Kweli mipango si matumizi.
Huu ndio Mrejesho?
Niunge kweny biashara yako ya kuku nipo DarNdiyo sikufanikiwa hata.
Sasa hivi ninafata kuku wa kienyeji singida ninauza.
Ndiyo sikufanikiwa hata.
Sasa hivi ninafata kuku wa kienyeji singida ninauza.
hahaaHili ni kama lina ukweli hivi, nililima heka 5 za mihogo ila nilichokuja kupata, sikulima tena mkuu. Acha tu aisee.