sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Inawezekana kwakweliNilichoelewa jamaa ni introvert
Kabisa mkuu.Fuatilia ujue tabia za watu ambao ni Introverts haitakupa shida,na usifikiri yeye kutokuwa na marafiki wengi inampa matatizo,ubongo wake tayari umeshaji tune kuwa maisha yanawezekana kwa jeshi la mtu mmoja tu au hao marafiki zake wachache kama wewe,wakati wewe unaona bila ya marafiki maisha hayatakwenda...
Unapotea hata hauniagi?Mi sikunyanyapai naikumbusha jamii iwaone kama watu wa kawaida
Nimekumiss mtush hata hivyo nimerudi kwa mda
Nakubali,mm pia ni mtu wa aina hiyo na huwa najihisi hivyo mara nying. Siwezi mfanya rafiki awe wangu peke yangu, lakn pia napenda atambue uwepo na nafasi yangu kwake kama ilivyo kwake kwangu. Sipendi kuchanganywa na wimbi la watu wengi ambao sijawazoea au sio washkaji zangu,hivyo ni sawa kama ana spend nao mda lakn pia atambue pia na mm nipoNilichoelewa jamaa ni introvert halafu ww ni mtu wa washkaji, so ukiwa na washkaji wengine inabidi yeye awe kando maana kwake hao watu ni kama kero kwake.
Hapo sasa huwa tatizoMbaya zaidi unakuta tabia zao na misingi yao hao marafiki zake ni tofauti kabisa na zako
Atuache kabisa [emoji23]Tafadhali naomba ututue chini
Urafiki wa kiboya huo nyie ndo mnaanzaga ivyo ivyo mambo ya ushoga pumbavu kabisa mwanaume unaanzaje kumuonea wivu akihang na marafiki tofauti tofauti kama anaona hamuelewi anaachana nae wanaume hatufosi urafikiUsidhani ulivyostaarabika ww ndivyo walivyostaarabika wengine. Sio kosa lako kwamba kwann dhana yako ktk urafiki ipo hivyo na sio kosa lake mleta mada kama dhana yake juu ya urafiki ipo vile. Hivyo jifunze kuwa na tolerance pale unapokutana na vitu huvijui au vigeni
Huo ndo uanaume sasa nikiwa na mshikaji naye ana washkaji tunaungana tunakuwa wana sasa wewe hupendi niwe na wana unataka nini sasa mm nakutema tuRafiki yako ni mgonjwa ,urafiki wa kawaida wa wanaume huwa hakunaga wivu kabisa tena mm ninavutiwa kuwa na marafiki wenye marafiki wengine maana huwa naona wananiongezea marafiki ,urafiki huleta connection za hela,ujuzi ,fursa etc ikiwa unachagua marafiki kwa makini.Mimi rafiki zangu majority wako busy na biashara na familia zao( wake zao) so muda wetu huwa kuonana ni bar tunakutana saa 3 saa 6 tunaaga na hakuna hata kuulizana ulifika salama .