Ninatibu magonjwa ya tabia

Ninatibu magonjwa ya tabia

Upendomia

Senior Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
121
Reaction score
13
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA
Habari wanajamii

Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo:

1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa zinazotokana na vyakula vya asili.

2. Watoto wadogo waliozaliwa na ulemavu nao nawafanyia mazoezi na kupewa dawa asilia.

3. Wenye magonjwa ya kisukari, moyo kuwa mkubwa, presha ya kupanda na kushuka, vidonda vya tumbo, asthma/pumu, taifodi, malaria sugu kwa watoto na watu wazima, uzito/unene kupita kiasi na magonjwa mengine mengi.

NIPO DAR ES SALAAM LAKINI NAHUDUMIA WALIOKO MIKOANI.
Nafanya shughuli hizi nyumbani kwa mgonjwa/mwenye tatizo.

Nipigie: +255714755582 (Dada upendomia).
Wengi niliowahi kuwatibu wamepona.
 
Vipi wenye viungo vya uzazi vilivyo paralyze unawasaidiaje, hasa wanaume?

Kuna juisi maalumu ya ujazo wa lita 5 na imetengenezwa kwa mchanganyiko wa; asali, ndimu, chumvi, tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji na maji. Unakunywa kwa muda wa mwezi 1 na haiharibiki. Nipigie katika hiyo namba niliyoandika juu.
 
Inauzwaje? nije sasa hivi maana babu yangu wa miaka 96 kaletewa kabinti kabichi kabisa kutoka kijijini, na kiungo chake hakionyeshi ushirikiano
 
Nimetoa simu hapo juu. Kama wewe huumwi waache wenye kuhitaji.

Inauzwaje? nije sasa hivi maana babu yangu wa miaka 96 kaletewa kabinti kabichi kabisa kutoka kijijini, na kiungo chake hakionyeshi ushirikiano
 
Ubarikiwe, nikisikia ishu nitakushtua
 
Kweli labda sijui hebu nisaidie kunifafanulia

Magonjwa ya tabia ni Magonjwa ambayo yanatokana na maisha tunayoishi katika vyakula mpaka vinywaji. Nadhani umenielewa hapo sasa na kama bado hujaelewa kuna kitabu kinachoweza kukupa somo hilo vizuri, tuwasiliane.
 
Ulemavu wa watoto, Moyo kuwa mkubwa, Asthma/pumu, typhoid, malaria sugu je haya ni magonjwa ya hiyo definition yako mkuu.
 
Vipi wenye viungo vya uzazi vilivyo paralyze unawasaidiaje, hasa wanaume?

nikishaonaga tangazo la kutibu malaria sugu sijui typhoid, pressure, kisukari najua ni uongo mtupu. Angeishia kwenye mambo ya physiotherapy ningekubali lakini kitendo cha kuongeza hayo ya chini nikajua ni wale wale! Dada we ni muongo!
 
Ukiwa ni mtu upo kila jambo unaliwaza on negative side, basi kila likujialo wewe unaona negative tu.
1. Una malaria sugu?
2. Una typhoid?
3. Una pressure?
4. Una kisukari?
Kama majibu ni ndiyo, kapime hospitali, piga photocopy vipimo original niachie mimi copy baki nayo wewe, halafu nakupa dawa zangu bure, ukipona au usipopona uje ushuhudie hapa. Nipigie katika namba yangu 07147555582 pia kama una tatizo la viungo pia sema upewe ofa. Wewe upo dar?

Back
Top Bottom