Ninatibu magonjwa ya tabia

Ninatibu magonjwa ya tabia

Upendomia

Senior Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
121
Reaction score
13
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA
Habari wanajamii

Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo:

1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa zinazotokana na vyakula vya asili.

2. Watoto wadogo waliozaliwa na ulemavu nao nawafanyia mazoezi na kupewa dawa asilia.

3. Wenye magonjwa ya kisukari, moyo kuwa mkubwa, presha ya kupanda na kushuka, vidonda vya tumbo, asthma/pumu, taifodi, malaria sugu kwa watoto na watu wazima, uzito/unene kupita kiasi na magonjwa mengine mengi.


NIPO DAR ES SALAAM LAKINI NAHUDUMIA PIA WALIOKO MIKOANI.

Nafanya shughuli hizi nyumbani kwa mgonjwa/mwenye tatizo.

Nipigie: +255714755582 (Dada upendomia).
Wengi niliowahi kuwatibu wamepona.
 
Asante mtaalam Doktari. Tiba Mmbadala zinasaidia sana ila sasa sijajua kama tiba zenu zina kibali cha TFDA na ubora wa TBS? Anyaway, hata za wachina hazina but angalao tuwe na uhakika maana madhara mengi yamejitokeza kwa watumiaji wa dawa au tiba zisizothibitishwa!
 
Nashukuru sana ndugu kwa swali lako, nilitingwa sana na wagonjwa kama wiki nzima mfululizo na hii ni shukurani kwa mtandao huu kwani nimeamini digitali ni jambo linaloweza kutusaidia sana endapo tunaitumia vizuri fursa hii.

Nikirudi kwenye swali lako ni kuwa kama ulivyosema mwenyewe kuwa ni tiba mubadala (alternative therapy), TFDA wanaitambuwa na wanaikubali. Mimi sina dawa mpya labda nina mbinu tu mpya, ukija kwa mfano ume-paralyse upande mmoja wa mwili au hata kama inakutokea katika mwili mzima, mimi nitakufanyia mazoezi (masaji maalum kama tiba) kwa siku kadhaa na nitaweza kukupa pia dawa vyakula ambavyo naona vinaweza ku-boost mfumo wako wa mwili ili uondokane mapema na tatizo.

Siuzi dawa ati ukaziita ni dawa. Kama una upungufu wa nguvu za kiume kwa mfano mi nakuandalia juisi maalum (ambayo pia hutibu magonjwa mengine kibao) yenye mchanganyiko wa asali, ndimu, tangawizi, chumvi, vitunguu saumu, vitunguu maji na maji na ninauhakika ukiinywa kama nitakavyokuagiza kwa muda wa mwezi 1 utakuwa umepona. Utaona mwenyewe hapa kuwa TFDA wanahusika hapa lakini si kivile. Lakini sisi pia tupo chini ya CHama cha Waganga wa Tiba za Asili Tanzania (CHAWATIATA). Lakini pia sina shaka TBS wanaujuwa mlonge ni dawa na ni chakula chenye viinilishe mhimu kwa mwili wa binadamu.

Kama kawaida usisahau unaweza pia kunipigia katika 0714755582.

Asante mtaalam Doktari. Tiba Mmbadala zinasaidia sana ila sasa sijajua kama tiba zenu zina kibali cha TFDA na ubora wa TBS? Anyaway, hata za wachina hazina but angalao tuwe na uhakika maana madhara mengi yamejitokeza kwa watumiaji wa dawa au tiba zisizothibitishwa!
 
Back
Top Bottom