Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

nitafute inbox naona unaongea fact
 
Nimefikia hatua nzuri kwa sasa this soon naweza kuondoka. Asante kwa concern yako mkuu.
Hello lorasa. Ulifanikiwa kupata visa. Mm Nashida na mtu au agent genuine anifanyie mpango nipate visa
 
Hello lorasa. Ulifanikiwa kupata visa. Mm Nashida na mtu au agent genuine anifanyie mpango nipate visa
Hakuna agent ,mwenye uwezo wakukuhakikisha kupata visa US, sijui kwa nch nyingine . Na pia hata ukitumia Agents bado utahita focuments zote muhimu, kitu qmbacho no sawa tu na kuapply mwenyewe!
Kuwa makini usije ukapoteza gharama zako na muda .

Nchi yyote kwa sasa unayofikitia kwenda zingatia njia zote halali, short cut ni risk!
 
Kupata Shengen Visa inabidi. Uwe na 12000 EUR kasoro kwenye blocked account. Labda ujaribu Marekani ila kwa Western Europe hiyo hela ni ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…