t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Mkuu sijaelewa structure ipi ya Bs unayoiongelea kwamba ati ni rahisi kuchakachua , unaiongelea BS kama vile cheti cha ubatizo ambacho hakibadiliki kitu kikisha andikwa.BS ya sponsor. Nchi zote zinahicho kigezo na watu wanachakachua. Moja ya kitu kirahisi kuchakachua ni BS nakwambia na usidhani watu wanachakachua wakiwa maghettoni tu huu ni mchongo unasukwa kitaalam.
Bs ni documents endelevu na inaweza ikahitajika na kukaguliwa anytime officials wanapotaka na ukagindulika
Kwenda nje ya nchi ni kitu kimoja na kuishi huko kwa amani ni kitu kingine .