bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Hii nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu
Kama Europ na Ulaya visa kupata ni shida tutafanyaje ...?
Birth certificate unapeleka ili wawe na uhakika ni mama yako , nchi kama Marekani they don’t need any documents unless wakuombe yaani wawe na wasi wasi na weweKama mama itakuwaje maana majina hayafanani
Ooohoo sawaBirth certificate unapeleka ili wawe na uhakika ni mama yako , nchi kama Marekani they don’t need any documents unless wakuombe yaani wawe na wasi wasi na wewe
Kiranga ni mtoto wa mjini na nahisi amechanganya maisha ya uswahilini ila ni mtoto wa kishuaKuna uzi flani mleta maada aliwahi kuchangia kuwa anafanya biashara fulani huko zanzibar na imemtoa kwa muda mfupi kaanza kupiga pesa ndefu,
Basi watu wakaanza kumuomba awaelekeze ili nawao wajikwamue kimaisha jamaa ulikataa kata kata,
Wengine wakaanza kuhisi huenda ni biashara haramu, nilichojifunza ni kwamba Kiranga ni mtu makini sana anaweza kunusa udanganyifu au hatari kwa haraka sana, kiufupi Luna uwezekano wa mtu kuingia matatizoni
nimetoka kumwambia hilo jambo mdau fulani huko post za mwanzo akanibishianaangaliaga kipindi kinaitwa border security Australia. Ukifika pale airport wale maafisa uhamiaji wakiwa na mashaka na wewe, especially Kama kuforge bank statement wanakupeleka kwenye ATM za airport unaambiwa uangalie salio wakiona.
Kama ulidanganya unadeportiwa na next available flight.
Concern yake kubwa Kiranga ilikuwa kwa nini jamaa anataka kutumia fedha kwa mambo ambayo ukifata tu utaratibu utapata visa kwa fee ndogo tuMkuu unachoongea upo sahihi kinachotakiwa ni kutoa hizo njia sahihi ili wengine wafate huo mstari maana taarifa sahihi ndio power ya kila na walioingia njia za panya huwa naamin kukosa kwao taarifa sahihi na maisha yetu yalivyo yanawafanya wapite hivyo na ukizingatia kitambo kidogo nchi zinazoeleweka kupata visa na kuonyoosha mambo yako ilikua mtihani..tuliosafiri tuwatoe matongo tongo madogo ili wao wapate unafuu
Tulikuwa tunawaambia Jiwe ameshavuruga kwa mabeberu na Covidiots mindset yake
Huendi popote sasa hivi, utaliwa hela tu
Wabongo mna variants nyingi mno ......Acha
@BufaNaona wengi mnafeli hata kuwaza mambo madogo tu ndo maana mnaona haya mambo ni otherworldly. Aje mtu wa miaka 20 sio famous wala nini na bank statement yake mwenyewe inasoma 1M USD unadhani nani atamuamini?
Kama kuwaza jambo dogo tu hivi hamuwezi basi hata msiwaze about counterfeiting.
Forgery sio docs tu ni pamoja na kuwaza jinsi ya kuziba weak links ili usitiliwe mashaka, kitu ambacho naona wengi kinawashinda.
Mathalani, huyo aliyepelekwa ATM kwanini kwanza alitembea na card? Alisema ana shingapi na alisema BS ya nani? Kingine wengi hawajiamini na hawajui sheria. Ukijua sheria na haki zako utabishana nao kisheria.
Aidha, bank statement inaonyesha mzunguko wa pesa sio pesa iliyokaa tu in the vaults kama viazi store. Hata BS ya ukweli yenye 1M leo kesho inaweza kuwa na 10 dollars na mtu akaombea na kupewa visa vizuri tu. Watu wamepita na BS za hivi nawajua personally.
People really have no idea how these things work.
Wenzenu wanadraft BS ya 30k USD tu wanasema ya mjomba au sponsor sasa kama mnataka sponsor awape salio on the spot mtafuteni.
Mwisho, isije kuonekana nashauri watu wadanganye la hasha ila nawaambia ni mambo ambayo yapo na yanafanyika. There's no such a thing as a perfect system.
wapopo sio level zetu , wale kwanza shule. ipo!Wakati wabongo wanadhani hakuna fake bank statemets, wapopo walikua wanatoa REAL US Visa kwenye ubalozi fake. Mnashangaa kwanini wapopo wamejazana ulimwenguni kote.
News has travelled the world that an organised gang based in Ghana ran a fake embassy selling real US visas for $6,000 (£4,700) for "about a decade". How did they get away with it for so long?
![]()
How did fake US embassy operate in Ghana for a decade?
An organised crime ring was giving out real US visas in Ghana's capital Accra for a decade - how did they get away with it for so long?www.bbc.com
Mkuu,Concern yake kubwa Kiranga ilikuwa kwa nini jamaa anataka kutumia fedha kwa mambo ambayo ukifata tu utaratibu utapata visa kwa fee ndogo tu
kiukweli mimi hapo ndipo nilipoliona tatizo, lakini pia ukisema mtu kama kiranga akupe abcd za kwenda nje , kutegemeana na sababu kadhaa anaweza asiwe wa msaada kwako, ninaamini kwa the way anavyo behave kiranga anaweza kuwa alikwenda states kwa visa ya studies , sasa mtu kama huyo anaweza asiwe na msaada kama mtu anaplan kwenda kufanya biashara huko Usa
Labda atakuelewa ,Juzi tu CANADA wamepiga simu Bank kujua kama kweli nina account pale na ile BS ni ya kwao
Ndio maana kun kitu kinapelekwa kinaitwa Bank Certificate unakiambatisha na BS
Kwenye mambo ya mpira, akipata chance ya kwenda belgium, au france kama anakipaji atafanikiwaNina dogo kaferi certificate sijui pakumpeleka bongo naona pagumu sana na passport anayo nilimpatia mwaka wa jana na anapenda sana mpira na magemu ya mpira nikamuwazia mpira bongo atoki labda nchi za ulaya ata hivyo ata akienda kubeba maboksi sio mbaya mnaweza nisaidia hili wakuu
Mkuu unafuu kwangu hapa naona unaangukia kwenye zile nchi ambazo Tz tunaweza kuingia bila visa au visa on arrival daah!Anza kwenye unafuu kwako mkuu.
wapopo sio level zetu , wale kwanza shule. ipo!
halafu hawaogopi mazabe maana wana support za nguvu kila sehemu walipo
Kuanza kwenye unafuu ni kupoteza focus kwenye main goal.hakikisha unapata tundu (visa).
Mkuu unafuu kwangu hapa naona unaangukia kwenye zile nchi ambazo Tz tunaweza kuingia bila visa au visa on arrival daah!
Ila pia nafikira Qatar na UAE , hizi kidogo si zinaunafuu kupata visa?