Jombe? Huu utakua mkoa mpya unaotarajia kutangazwaPole sana mkuu kwa hilo jasho. Hamia mbeya au jombe utapona
Sipaki mafuta mwilini nikiwa natoka na hata nikipaka natumia ya naziHiyo ni nature ya ngozi yako.
Muone mtaalamu wa ngozi akupe ushauri mzuri zaidi.
Mwenyewe nna ngozi kama yako, nimeamua kuachana na kabisa na mambo ya lotion na mafuta ya aina yeyote.
Basi jaribu kucheki TB. Hauna kikohozi kile kigumu?Yan mwilini sipaki mafuta, napaka mikono na miguu tu basi
Jombe= njombeJombe? Huu utakua mkoa mpya unaotarajia kutangazwa
Pole sana. Sasa hakikisha kila siku unatafuna (angalau) nusu nazi. Meza lile tui alafu yale machicha tema. Fanya hivi, baada ya wiki utashangaa unamaliza siku nne bila kuoga na hutosikia harufu ya jasho...Wasalaam, kutokwa na jasho ni kitendo cha kiafya ila ikizidi inageuka kero na kukosesha amani.
Msaada wenu please