Ninatoka jasho sana, nifanyeje?

Ninatoka jasho sana, nifanyeje?

Kuna mambo kadhaa ya kuepuka .
1. Mafuta unayotumia.
2. Angalia kama una ugonjwa wowote unaokufanya ukooe
3. Utumiaji wa pombe kupita kiasi .
4 .uvutaji wa sigara .
Tiba:
SHABU : haya nia aina ya magadi yanayouzwa kwenye maduka ya dawa za asili.,unaloweka kwenye maji na kunawa maeneo yote yanayowai sana kutoka jasho..
Nimewai kuwa natatizo hilo ila nilijichunguza ilitokana na ulevi wa pombe ...sasa naendelea vyema baada ya kupunguza kidogo
Sina ugonjwa wowote,sinywi pombe wala sivuti chochote, mafuta najipaka ya nazi
I ll try shabu thanks
 
Pole sana. Sasa hakikisha kila siku unatafuna (angalau) nusu nazi. Meza lile tui alafu yale machicha tema. Fanya hivi, baada ya wiki utashangaa unamaliza siku nne bila kuoga na hutosikia harufu ya jasho...
Duh sina harufu yoyote nasweat jasho tu halina harufu
 
Back
Top Bottom