Amarosa
Member
- Jan 13, 2018
- 32
- 23
- Thread starter
- #21
Sina ugonjwa wowote,sinywi pombe wala sivuti chochote, mafuta najipaka ya naziKuna mambo kadhaa ya kuepuka .
1. Mafuta unayotumia.
2. Angalia kama una ugonjwa wowote unaokufanya ukooe
3. Utumiaji wa pombe kupita kiasi .
4 .uvutaji wa sigara .
Tiba:
SHABU : haya nia aina ya magadi yanayouzwa kwenye maduka ya dawa za asili.,unaloweka kwenye maji na kunawa maeneo yote yanayowai sana kutoka jasho..
Nimewai kuwa natatizo hilo ila nilijichunguza ilitokana na ulevi wa pombe ...sasa naendelea vyema baada ya kupunguza kidogo
I ll try shabu thanks