Ninatokwa na vipele vingi usoni na kwenye ulimi, inaweza kuwa ugonjwa Nini?

Bei Rahisi Electronics

Senior Member
Joined
Apr 4, 2025
Posts
197
Reaction score
584
Anaomba Ushauri ".
Mambo vipi ndugu zangu mimi nikijana wamiaka 30 ila nimetembea na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi.

Tangia nitembee nae ishapita miezi miwili lakini naona mabadiliko kwenye Mwili wangu naona ulimi wangu unasisimka nakubadilika rangi kuwa mweupe naona vipele vingi vinanitoka usoni nakwenye mwili mala nywele zinawasha mala koo kuuma.

Nilienda kupima baada yakupita mwezi mmja na wiki tatu, Namaanisha tarehe 9 ya mwezi wa kwaza nimenda kupima Amana nimeambiwa sina Ukimwi.

vipele vinaongezeka ila aviwashi afu naona vipele vidogo dogoo vingi jaman naombeni Ushauri
 
Attachments

  • 1743906681697.jpg
    1743906681697.jpg
    394.3 KB · Views: 46
Anaomba Ushauri ".
Mambo vipi ndugu zangu mimi nikijana wamiaka 30 ila nimetembea na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi.

Tangia nitembee nae ishapita miezi miwili lakini naona mabadiliko kwenye Mwili wangu naona ulimi wangu unasisimka nakubadilika rangi kuwa mweupe naona vipele vingi vinanitoka usoni nakwenye mwili mala nywele zinawasha mala koo kuuma.

Nilienda kupima baada yakupita mwezi mmja na wiki tatu, Namaanisha tarehe 9 ya mwezi wa kwaza nimenda kupima Amana nimeambiwa sina Ukimwi.

vipele vinaongezeka ila aviwashi afu naona vipele vidogo dogoo vingi jaman naombeni Ushauri

Pole sana.

Ni muhimu ukafika hospitalini kwa daktari ufanyiwe uchunguzi na vipimo.

Kila la kheri.
 
Kama Ulivyokwenda Amana Hospital
Nashauri Urudi Tena Upate Kuona Doctor Kwa Hatua Mbalimbali
 
kwaio mkuu Mbu wale nini sasa kama akikung'ta kidogo tu unasingizia ni ukumwi unata Mbu wale mgagani
 
We hii sio scurvy jaman upungufu wa madini C mwilini emu aende hospital ikiwa konk Ata hamu ya kula unakosa ulimi utakua na cracks ujikubali

NB;pima Tena ukimwi mara ya pili
 
Back
Top Bottom