Ninaumia sana jamani naombeni msaada wenu wa mawazo

Ninaumia sana jamani naombeni msaada wenu wa mawazo

Ujana taabu kweli kweli, sasa hapa umeandika lugha gani?
Mbona ulichoandika akieleweki?
Acheni maisha ya kuigiza kwenye Movie
ooooh!! boy kwanza pole coz u dnt know da kind of mes u r n. lv her alone cns she znt 1 4 u. concentrate kwa akupendae 4 rl. mpe penz akupalo kijana okk? u wl 4get everythng abt ur x iwapo utajkp busy na ur new gal.
 
Dogo hujitambui, hv vyuo sijui mnasoma nini huko manake upuzi mtupu vijana wa siku hz mwaufanya vyuoni?
Mapenzi yasikutawale utadisco masomo
 
Tatizo uliyempata hana vigezo kama yule aliyekuacha.
 
pole kaka!cha msing chukulia kama haikuwah tokea hyo dem akawa dem wako!kwanza mshukuru Mungu kwa kuachana naye na kutokutana naye kimwil kwan huwez jua Mungu amekuepushia nn kibaya!cha zaidi sasa hv unatakiwa uconcetrate kwenye masomo yako for sure naamini utamsahau.Kwanza dem mwenyewe haja2lia hvo angezid kukupa stress kibao kama ungeendelea kuwa nae so shukuru kwa hilo.
 
nakushauri achana na mambo ya mapenzi yatakupoyezea muda wakisoma nakuelewa masomo kwa kiwango kikubwa, nasema achana na mapenzi kwakua nimegundua pia hujui namna yakupenda na kitaman, hujui kupenda kwakua huwezi kuwa na mpenzi wako unaempenda alafu tena ukawa unaumia moyo kwa kumpenda mtu mwingine, mimi nasema huo sio upendo bali ni tamaa tu ya mwili, hebu soma kwanza malliza masomo yako kwani bado hujajua mapenzi ni nini na jins yakupenda na kutamaji hujajua kutofautisha .yangu ni hayo tu
 
shule kwanza mapenzi baadae
ukiwaza sana huko utaishi kupata pass au gpa za makarai au disco
soma kwa bidii,mapenzi utayafaidi ukishakuwa na good life
hata hivo hakuna mapenzi ya kweli chuoni.
mabinti wengi wanaishi kwa tamaa ya mali nk wewe kwa mkopo wako hutaweza kumtimizia malengo yake
soma kijana acha kuchezea bahati uliopata ya kusoma.
 
ji keep busy na issue zko dgo!manzi ukiifuatilia sna itakutesa so we jkaze na ufute mawazo juu yke komaa na xcul kjna manzi zipo 2.
 
Mm napita tu! Ila naona kijana utoto bado unakusumbua! Eti bado unampenda kwani ulizaliwa naye? Kwani hapo chuo umefuata nn??....
 
msituletee mapenzi ya boom humu,yamekaa kikanyaboya sana....:shut-mouth:
 
Nilikutana na binti mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila waliachana baada ya kubaini kuwa mpenzi wake huyo hakuwa mwaminifu.Kwa furaha kubwa niliendelea kuwa nae kama mpenzi wangu bila kumshuku kwa lolote. Lakini cha ajabu alikuwa makini sana na simu yake ya mkononi na kila nilipo jaribu kumuomba aliniuliza aliniuliza swali kwamba? nataka simu ya nini?.Siku zilivyozidi kwenda nilijabaini kuwa bado alikuwa na mahusiano na yule mpenzi wake,na nilipojari kumuuliza alinijia juu kwa ukali akisi kwamba ugomvi ulioibuka ulisababisha tukaachana. Tulipochana mimi nilishindwa kuendelea kuishi bila mpenzi nikajikuta nampenda binti mwingine wa mwaka wa kwanza ambaye na yee alinipenda tukaamua kuwa kuishi kama wapenzi na ndiye ninayeendelea naye hadi sasa.Yule mwingine naye hakuweza kuishi peke yake chuoni japo anampenzi mwingine nyumbani kwao, amejikuta wanapendana na mwanachuo mwingine wa mwaka wake japokuwa wakati kabla sijaachana nae aliapa akasema,''endapo itatokea akaaachana na mimi kamwe hataweza kuwa na mwanamume mwingine katika mazingira ya chuo kwa kuwa hakuna anaye mfaa.'' TATIZO nililo nalo ni kwamba?kwakuwa nilimpenda sana ninapat shida sana moyoni hasa pale ninapomuona chuoni na mbaya zaidi akiwa na mtu mwingine napata shida sana japokuwa huyu niliye naye ananipenda sana.NAOMBA USHAURI WENU.Nifanye nini niweze kuiepuka hii hali.Japo katika kipindi nilicho kuwa naye sikuwahi kukutana nae kimwili,lakini naumia sana nimuonapo.

we kujiingiza kwenye uzinifu kumekuongezea nini?
 
Nilikutana na binti mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila waliachana baada ya kubaini kuwa mpenzi wake huyo hakuwa mwaminifu.Kwa furaha kubwa niliendelea kuwa nae kama mpenzi wangu bila kumshuku kwa lolote. Lakini cha ajabu alikuwa makini sana na simu yake ya mkononi na kila nilipo jaribu kumuomba aliniuliza aliniuliza swali kwamba? nataka simu ya nini?.Siku zilivyozidi kwenda nilijabaini kuwa bado alikuwa na mahusiano na yule mpenzi wake,na nilipojari kumuuliza alinijia juu kwa ukali akisi kwamba ugomvi ulioibuka ulisababisha tukaachana. Tulipochana mimi nilishindwa kuendelea kuishi bila mpenzi nikajikuta nampenda binti mwingine wa


mwaka wa kwanza ambaye na yee alinipenda tukaamua kuwa kuishi kama wapenzi na ndiye ninayeendelea naye hadi sasa.Yule mwingine naye hakuweza kuishi peke yake chuoni japo anampenzi mwingine nyumbani kwao, amejikuta wanapendana na mwanachuo mwingine wa mwaka wake japokuwa wakati kabla sijaachana nae aliapa akasema,''endapo itatokea akaaachana na mimi kamwe hataweza kuwa na mwanamume mwingine katika mazingira ya chuo kwa kuwa hakuna anaye mfaa.'' TATIZO nililo nalo ni kwamba?kwakuwa nilimpenda sana ninapat shida sana moyoni hasa pale ninapomuona chuoni na mbaya zaidi akiwa na mtu mwingine napata shida sana japokuwa huyu niliye naye ananipenda sana.NAOMBA USHAURI WENU.Nifanye nini niweze kuiepuka hii hali.Japo katika kipindi nilicho kuwa naye sikuwahi kukutana nae kimwili,lakini naumia sana nimuonapo.

Ww unaonekana ndo unachipukia kwny tasnia ya mapenzi,Neva love a young n beautiful gal
 
ooooh!! boy kwanza pole coz u dnt know da kind of mes u r n. lv her alone cns she znt 1 4 u. concentrate kwa akupendae 4 rl. mpe penz akupalo kijana okk? u wl 4get everythng abt ur x iwapo utajkp busy na ur new gal.

MAKOROKOCHo .........
 
Inauma,sawa lakini potezea2 kama ulie nae hajakuridhisha mpaka ikupelekee kuendelea kumpenda asiye pendeka bac piga chini kisha kaa kivyako na kitabu2 kwani nini na shida gani?!!!
 
Inauma,sawa lakini potezea2 kama ulie nae hajakuridhisha mpaka ikupelekee kuendelea kumpenda asiye pendeka bac piga chini kisha kaa kivyako na kitabu2 kwani nini na shida gani?!!!
 
Nilikutana na binti
mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na
kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia
alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila waliachana baada ya kubaini kuwa
mpenzi wake huyo hakuwa mwaminifu.Kwa furaha kubwa niliendelea kuwa nae
kama mpenzi wangu bila kumshuku kwa lolote. Lakini cha ajabu
alikuwa makini sana na simu yake ya mkononi na kila nilipo jaribu
kumuomba aliniuliza aliniuliza swali kwamba? nataka simu ya nini?.Siku
zilivyozidi kwenda nilijabaini kuwa bado alikuwa na mahusiano na yule
mpenzi wake,na nilipojari kumuuliza alinijia juu kwa ukali akisi kwamba
ugomvi ulioibuka ulisababisha tukaachana. Tulipochana mimi
nilishindwa kuendelea kuishi bila mpenzi nikajikuta nampenda binti
mwingine wa mwaka wa kwanza ambaye na yee alinipenda tukaamua kuwa
kuishi kama wapenzi na ndiye ninayeendelea naye hadi sasa.Yule mwingine
naye hakuweza kuishi peke yake chuoni japo anampenzi mwingine nyumbani
kwao, amejikuta wanapendana na mwanachuo mwingine wa mwaka wake japokuwa
wakati kabla sijaachana nae aliapa akasema,''endapo itatokea akaaachana
na mimi kamwe hataweza kuwa na mwanamume mwingine katika mazingira ya
chuo kwa kuwa hakuna anaye mfaa.'' TATIZO nililo nalo ni
kwamba?kwakuwa nilimpenda sana ninapat shida sana moyoni hasa pale
ninapomuona chuoni na mbaya zaidi akiwa na mtu mwingine napata shida
sana japokuwa huyu niliye naye ananipenda sana.NAOMBA USHAURI
WENU.Nifanye nini niweze kuiepuka hii hali.Japo katika kipindi nilicho
kuwa naye sikuwahi kukutana nae kimwili,lakini naumia sana
nimuonapo.

You still love her ndio maana unaumia ni vigumu sana kumsahau but jaribu kuona kama hayupo and hawezi kuwa wako tena. Kidogo kidogo utamsahau
 
achana na mapenzi, tengeneza GPA wewe, mapenzi yapo, warembo wapo... Tengeneza wallet!
 
mtumie huyo uliyenaye kumsahau huyo ex-wako baada ya muda tu utamsahau... fanya yote ambayo hukufanya kwa ex wako kwa huyo wa sasa... uwl get thgh zc easly....!
 
Back
Top Bottom