raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
ooooh!! boy kwanza pole coz u dnt know da kind of mes u r n. lv her alone cns she znt 1 4 u. concentrate kwa akupendae 4 rl. mpe penz akupalo kijana okk? u wl 4get everythng abt ur x iwapo utajkp busy na ur new gal.
usipende mtu sana kuwa vuguvugu
Nilikutana na binti mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila waliachana baada ya kubaini kuwa mpenzi wake huyo hakuwa mwaminifu.Kwa furaha kubwa niliendelea kuwa nae kama mpenzi wangu bila kumshuku kwa lolote. Lakini cha ajabu alikuwa makini sana na simu yake ya mkononi na kila nilipo jaribu kumuomba aliniuliza aliniuliza swali kwamba? nataka simu ya nini?.Siku zilivyozidi kwenda nilijabaini kuwa bado alikuwa na mahusiano na yule mpenzi wake,na nilipojari kumuuliza alinijia juu kwa ukali akisi kwamba ugomvi ulioibuka ulisababisha tukaachana. Tulipochana mimi nilishindwa kuendelea kuishi bila mpenzi nikajikuta nampenda binti mwingine wa mwaka wa kwanza ambaye na yee alinipenda tukaamua kuwa kuishi kama wapenzi na ndiye ninayeendelea naye hadi sasa.Yule mwingine naye hakuweza kuishi peke yake chuoni japo anampenzi mwingine nyumbani kwao, amejikuta wanapendana na mwanachuo mwingine wa mwaka wake japokuwa wakati kabla sijaachana nae aliapa akasema,''endapo itatokea akaaachana na mimi kamwe hataweza kuwa na mwanamume mwingine katika mazingira ya chuo kwa kuwa hakuna anaye mfaa.'' TATIZO nililo nalo ni kwamba?kwakuwa nilimpenda sana ninapat shida sana moyoni hasa pale ninapomuona chuoni na mbaya zaidi akiwa na mtu mwingine napata shida sana japokuwa huyu niliye naye ananipenda sana.NAOMBA USHAURI WENU.Nifanye nini niweze kuiepuka hii hali.Japo katika kipindi nilicho kuwa naye sikuwahi kukutana nae kimwili,lakini naumia sana nimuonapo.
Nilikutana na binti mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila waliachana baada ya kubaini kuwa mpenzi wake huyo hakuwa mwaminifu.Kwa furaha kubwa niliendelea kuwa nae kama mpenzi wangu bila kumshuku kwa lolote. Lakini cha ajabu alikuwa makini sana na simu yake ya mkononi na kila nilipo jaribu kumuomba aliniuliza aliniuliza swali kwamba? nataka simu ya nini?.Siku zilivyozidi kwenda nilijabaini kuwa bado alikuwa na mahusiano na yule mpenzi wake,na nilipojari kumuuliza alinijia juu kwa ukali akisi kwamba ugomvi ulioibuka ulisababisha tukaachana. Tulipochana mimi nilishindwa kuendelea kuishi bila mpenzi nikajikuta nampenda binti mwingine wa
mwaka wa kwanza ambaye na yee alinipenda tukaamua kuwa kuishi kama wapenzi na ndiye ninayeendelea naye hadi sasa.Yule mwingine naye hakuweza kuishi peke yake chuoni japo anampenzi mwingine nyumbani kwao, amejikuta wanapendana na mwanachuo mwingine wa mwaka wake japokuwa wakati kabla sijaachana nae aliapa akasema,''endapo itatokea akaaachana na mimi kamwe hataweza kuwa na mwanamume mwingine katika mazingira ya chuo kwa kuwa hakuna anaye mfaa.'' TATIZO nililo nalo ni kwamba?kwakuwa nilimpenda sana ninapat shida sana moyoni hasa pale ninapomuona chuoni na mbaya zaidi akiwa na mtu mwingine napata shida sana japokuwa huyu niliye naye ananipenda sana.NAOMBA USHAURI WENU.Nifanye nini niweze kuiepuka hii hali.Japo katika kipindi nilicho kuwa naye sikuwahi kukutana nae kimwili,lakini naumia sana nimuonapo.
ooooh!! boy kwanza pole coz u dnt know da kind of mes u r n. lv her alone cns she znt 1 4 u. concentrate kwa akupendae 4 rl. mpe penz akupalo kijana okk? u wl 4get everythng abt ur x iwapo utajkp busy na ur new gal.
Nilikutana na binti
mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na
kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia
alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila waliachana baada ya kubaini kuwa
mpenzi wake huyo hakuwa mwaminifu.Kwa furaha kubwa niliendelea kuwa nae
kama mpenzi wangu bila kumshuku kwa lolote. Lakini cha ajabu
alikuwa makini sana na simu yake ya mkononi na kila nilipo jaribu
kumuomba aliniuliza aliniuliza swali kwamba? nataka simu ya nini?.Siku
zilivyozidi kwenda nilijabaini kuwa bado alikuwa na mahusiano na yule
mpenzi wake,na nilipojari kumuuliza alinijia juu kwa ukali akisi kwamba
ugomvi ulioibuka ulisababisha tukaachana. Tulipochana mimi
nilishindwa kuendelea kuishi bila mpenzi nikajikuta nampenda binti
mwingine wa mwaka wa kwanza ambaye na yee alinipenda tukaamua kuwa
kuishi kama wapenzi na ndiye ninayeendelea naye hadi sasa.Yule mwingine
naye hakuweza kuishi peke yake chuoni japo anampenzi mwingine nyumbani
kwao, amejikuta wanapendana na mwanachuo mwingine wa mwaka wake japokuwa
wakati kabla sijaachana nae aliapa akasema,''endapo itatokea akaaachana
na mimi kamwe hataweza kuwa na mwanamume mwingine katika mazingira ya
chuo kwa kuwa hakuna anaye mfaa.'' TATIZO nililo nalo ni
kwamba?kwakuwa nilimpenda sana ninapat shida sana moyoni hasa pale
ninapomuona chuoni na mbaya zaidi akiwa na mtu mwingine napata shida
sana japokuwa huyu niliye naye ananipenda sana.NAOMBA USHAURI
WENU.Nifanye nini niweze kuiepuka hii hali.Japo katika kipindi nilicho
kuwa naye sikuwahi kukutana nae kimwili,lakini naumia sana
nimuonapo.