kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #41
SawaChai
Pima na mimbaGuys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Asante dear, Mungu ni mwemaBila shaka utapona dear.
Mimba sina mkuuPima na mimba
ooh wamekuambia ni nini shidaMimba sina mkuu
Asante sana mkuuPolehπ₯Ί
Mchafuko wa damu na UTI na maleriaooh wamekuambia ni nini shida
pole sana UTI na PID ni magonjwa maarufu kwa wanawake yanawasumbua sanaMchafuko wa damu na UTI na maleria
Hiyo ni mimba, full stopHuyu si ndo alisema ameachana na mpenzi wake..? kama ni yeye halafu ndo anamimba taifa lijiandae kupokea single mama mwengine!.
nje na hapo nimpe pole sana!
πΉπΉπΉ Ninachojua soon naitwa auntieSiyo kweli nina mwezi sijashiriki haiwezi kuwa hiyo
Siyo kweli mkuu πππΉπΉπΉ Ninachojua soon naitwa auntie
Unataka kusemajeNyama kwa nyama si ni tamu haya sasa
Siyo kweli mkuuHiyo ni mimba, full stop
Asante sana kaka mkubwa ππPole mdogo wangu.
Wish you quick recovery
Acha tu yaanipole sana UTI na PID ni magonjwa maarufu kwa wanawake yanawasumbua sana
Asante sana kwa kujaliPole sana
Amen mkuu Mungu ni mwemaMungu akupe uponyaji akuweke mbali na magonjwa,
Ikiwa Kuna yyote anakufanyia Hila Mungu apigane naye,
Akulinde na magonjwa