kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #61
Mchafuko wa damu maleria na UTIMadaktari wanasema shida nn bidada, pole sana au ni mimba, maana mimba sio ugonjwa
Mchafuko wa damu maleria na UTIMadaktari wanasema shida nn bidada, pole sana au ni mimba, maana mimba sio ugonjwa
Asante sana kipenziMungu yu mwema, utapona na utarejea katika shughuli zako.
Tuko pamoja kipenzi chetu.
Pole sana Binti Sayuni03 wetu
Asante mpenzi Mungu ni mwemaPole cute,utakaa sawa
AminaAsante mpenzi Mungu ni mwema
Asante mkuu nimeanza doziPole sana tafuta tiba haraka, zingatia maombi ya toba na shukrani
Kuna niniNjoo PM...😋
Vyema zingatia sanaAsante mkuu nimeanza dozi
Pole. Unaumwa mwili au roho ama vyote kwa pamoja?Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Siyo mimbaHuyu si ndo alisema ameachana na mpenzi wake..? kama ni yeye halafu ndo anamimba taifa lijiandae kupokea single mama mwengine!.
nje na hapo nimpe pole sana!
Kichwa mwili unakosa nguvuPole. Unaumwa mwili au roho ama vyote kwa pamoja?
Asante mpenzi Mungu ni mwemaPoleee sana Dear, utaponaa.
Asante dear Mungu ni mwemaPole sana binti upone haraka.
AsanteAsante sana kipenzi
Karibu mdogo wanguAsante sana kaka mkubwa 😊🙏
pole sana ndugu, umepima wingi wa damu?Guys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Kuna maombi na dawa....😋Kuna nini
🙏🙏Asante mpenzi Mungu ni mwema
Namshukuru Mungu nilianza dozi jana hivi leo nina nafuuUnaendeleaje binti sayuni ?