kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #81
Asante sana mkuuMungu atakuponya utarudi katika hali yako ya awali
Nimepimwa wamesema ni mchafuko wa damupole sana ndugu, umepima wingi wa damu?
Wishing you a quick recovery darling sisNamshukuru Mungu nilianza dozi jana hivi leo nina nafuu
Thank you 😊 🙏Wishing you a quick recovery darling sis
pendelea kutumia mashona nguo majani yake hata kwa mwez mara mbil(chemsha kunywa) huongeza damu na kusafisha kwa harakaMungu ni mwema kwasasa nimepona naendelea vizuri
una mimbaGuys nasikia kizungu zungu mwili unatamani kulala tu muda wote siko sawa, hapa nipo hospital kwa mara ya pili niombeeni ndugu yenu
Asante sana mkuu ntafanya hivyopendelea kutumia mashona nguo majani yake hata kwa mwez mara mbil(chemsha kunywa) huongeza damu na kusafisha kwa haraka