Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

Pole sana ila nashangaa jamaa anaumwa na anaomba mumuombee,wala hataki mumchangie yeye ni maombi tu halafu mnamuwekea zengwe je angeomba mumchangie sijui ingekuwaje nadhani mngemporomoshea matusi hadi angepona
Dah jamaaa hawa amin kabisa kama kweli naumwa
 
Mtu anayeumwa sana anawezaje kupata nguvu za kuanzisha thread?

Acheni masihara na "kuumwa sana"

Vimafua tu mtu anasema anaumwa sana... ndo maana hii biashara ya "wanaume wa Dar" huwa haiishi.

Gadem!
Mkuu labda kaandikiwa
 
Back
Top Bottom