Poa. Sasa nazama kwenye maombi hadi upone; hautakufa! Na ikitokea umekata moto basi unatakiwa unilaumu mimi.Yap nakuhakikishia maombi yanaweza yako yanaweza fanya nisikate moto mkuu
Dah jamaaa hawa amin kabisa kama kweli naumwaPole sana ila nashangaa jamaa anaumwa na anaomba mumuombee,wala hataki mumchangie yeye ni maombi tu halafu mnamuwekea zengwe je angeomba mumchangie sijui ingekuwaje nadhani mngemporomoshea matusi hadi angepona
mtu kama wewe kuaminika huwaga ngumu sana sijui kwanini mkuu
Lakin kabsa sijasahau Ugua pole mdogo wetu
Mkuu labda kaandikiwaMtu anayeumwa sana anawezaje kupata nguvu za kuanzisha thread?
Acheni masihara na "kuumwa sana"
Vimafua tu mtu anasema anaumwa sana... ndo maana hii biashara ya "wanaume wa Dar" huwa haiishi.
Gadem!