Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

Be well soon kaka
 
VP kipimo kikubwa umepima. HIV
 
acha kulialia mtoto wa kiume...unaumwa huku umeshika smartphone eee? kuumwa kidigitali hahaha
 
Yaani unapima Malaria, Mkojo na Choo kubwa tu halafu unasema Madaktari wamekosa ugonjwa!

Acha kuwaaibisha Madaktari wetu.

Pole Sana mdogo wangu. Ukiwa kifungoni huwa tunakosa uchangamfu wako.
 
Mtu anayeumwa sana anawezaje kupata nguvu za kuanzisha thread?

Acheni masihara na "kuumwa sana"

Vimafua tu mtu anasema anaumwa sana... ndo maana hii biashara ya "wanaume wa Dar" huwa haiishi.

Gadem!

Unayajua mafua ya viral au shwain fluu au mafua ya ndege?
 

Dalili zinafanana na homa ya Dengue
 
Mtu anayeumwa sana anawezaje kupata nguvu za kuanzisha thread?

Acheni masihara na "kuumwa sana"

Vimafua tu mtu anasema anaumwa sana... ndo maana hii biashara ya "wanaume wa Dar" huwa haiishi.

Gadem!
Babu dogo anazingua anataka kiki tu basi...sijaona logic hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…